Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

Ngoja Yohane Mbatizaji aje maana yeye kila akiandika sredi anamalizia Maendeleo hayana vyama ,ngoja tumsubiri alete ufafanuzi inakuwaje boss wake maendeleo anayahusisha na chama chao?
Huwezi kumuona tena hapa ..mzee jiwe Jana kawalaza na viatu ..kila wakijaribu kuinua vichwa kuja kumtetea vinakuwa vizito ka wamefungwa vyuma kwenye vichwa vyao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja Yohane Mbatizaji aje maana yeye kila akiandika sredi anamalizia Maendeleo hayana vyama ,ngoja tumsubiri alete ufafanuzi inakuwaje boss wake maendeleo anayahusisha na chama chao?
Et unasema niliwawekea MTU wa kumchagua nyie mkamchagua wenu so mwambieni awatengenezee stend. Kweli hii

Naweka nia naenda kuchukua fomu ya kugombea urais
 
Yeye amekua Mbunge wa Chato miaka zaidi ya 10 na stend ilimshinda kujenga adi leo akiwa Rais ndo analazimisha kuijenga kwa upendeleo tena.
Jamaa anarohoo mbaya adi ndugu zake wa karibu kabisa wanawashangaa waTanzania kwa kumchagua kuongoza nchi hii.
Jamaa ana rohoo mbaya haijawahi kutokea; nyie yawezekana mnamsikia tu.
Hata mama yake mzazi aliwashangaa sana watz kumchagua huyu jamaa
 
Yeye amekua Mbunge wa Chato miaka zaidi ya 10 na stend ilimshinda kujenga adi leo akiwa Rais ndo analazimisha kuijenga kwa upendeleo tena.
Jamaa anarohoo mbaya adi ndugu zake wa karibu kabisa wanawashangaa waTanzania kwa kumchagua kuongoza nchi hii.
Jamaa ana rohoo mbaya haijawahi kutokea; nyie yawezekana mnamsikia tu.
Roho yake mbaya anataka kuitumia Dodoma kuwarejesha Jimboni majina ya Mwakyembe, Bashite, Angela na wenzao, wajumbe wa kamati watawakataa lakini yeye atawapipisha kwa ubabe kwa visingizio kuwa report za Takukuru zinasema walioshinda walitumia Rushwa wakati hao wenyewe ndiyo walikuwa vinara wa Rushwa
 
CCM wapo wengi Bungeni(ndiyo wenye majimbo mengi) , maana yake kama majimbo yao yote yangekuwa na maendeleo, Taifa lingekuwa mbali sana kiuchumi. Tunalia umasikini kila siku, changamoto ni zile zile maji, barabara, afya,elimu halafu anakuja hapa kuleta porojo za kijinga.
Yaani mko wachache
 
kelvinlewis
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka wakati wa uhai wake kuwa hatukuwaita makaburu wa Afrika Kusini kwa ajili ya rangi yao nyeupe, la hasha.........

Aliendekea kusema kuwa yeyote ambaye ni mbaguzi, hata kama ni mweusi ni KABURU tuuu.......

Kwa matamshi aliyotamka Rais wetu kule Kilwa, na yeye ni KABURU pure!
Kipimo kikubwa ni Tabia yake ya kuwabambikia kesi kesi juu ya kesi wapinzani hususani chadema
 
Safari hii tumepata hasara kubwa sana. Mtu wenu amejisaidia tena barabarani watu wa buku saba njooni haraka mzoe kinyesi
 
Maendeleo ni lazima kwa watanzania siyo Hisani ya CCM, wanalipa kodi ili wapate maendeleo, Kitendo cha kuchukua kodi zao kuzitafuna kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge huku wakiachwa bila maendeleo kisa walichagua upinzani ni dhuluma kubwa na dharau ya kutisha sana.
 
ikitokea kila sehemu ijiendeleze kulingana na mapato yake utawala wa majimbo kama kenya South Africa nina imani atakosa pesa za kwenda kujenga chato kwa upendeleo, anajinadi kuwa maendeleo hayana chama lakini kwake maendeleo ni chato na Dodoma na sehemu zingine chache za marafiki zake
 
Tatizo huyu mzee anaamini chama chake pekee ndio chenye uwezo wa kuleta maendeleo pekee ..jambo ambalo sio kweli
Maendeleo ni lazima kwa walipa kodi,maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM
 
Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Mbunge anaitwa Bwege ,hajafanya chochote mpk leo.mnataka Rais afanyeje ?
Akasimamie wahandisi kujenga stendi
Hapa Eclat sikuelewagi
 
Back
Top Bottom