kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 206
Ngoja tuone mkuu sema cpgi kura mtu yoyote wote viaz mbatata tuHawezi. Dunia imebadirika sana. Saivi ukitumia ubabe wenye dunia hawakuachi . Yamemshinda Muthalika juzi Malawi huyu atawezea wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone mkuu sema cpgi kura mtu yoyote wote viaz mbatata tuHawezi. Dunia imebadirika sana. Saivi ukitumia ubabe wenye dunia hawakuachi . Yamemshinda Muthalika juzi Malawi huyu atawezea wapi??
Huwezi kumuona tena hapa ..mzee jiwe Jana kawalaza na viatu ..kila wakijaribu kuinua vichwa kuja kumtetea vinakuwa vizito ka wamefungwa vyuma kwenye vichwa vyao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja Yohane Mbatizaji aje maana yeye kila akiandika sredi anamalizia Maendeleo hayana vyama ,ngoja tumsubiri alete ufafanuzi inakuwaje boss wake maendeleo anayahusisha na chama chao?
Et unasema niliwawekea MTU wa kumchagua nyie mkamchagua wenu so mwambieni awatengenezee stend. Kweli hiiNgoja Yohane Mbatizaji aje maana yeye kila akiandika sredi anamalizia Maendeleo hayana vyama ,ngoja tumsubiri alete ufafanuzi inakuwaje boss wake maendeleo anayahusisha na chama chao?
Yangekuwa yale ya Kigamboni, watu wangekuwa 'surprised'Hivi zile form zingeprintiwa mbili ingekuaje??
Kachemka sio kidogo mkuuuHapa Magu kachemka balaa,hata hajui maana ya uongozi hapa
Hata mama yake mzazi aliwashangaa sana watz kumchagua huyu jamaaYeye amekua Mbunge wa Chato miaka zaidi ya 10 na stend ilimshinda kujenga adi leo akiwa Rais ndo analazimisha kuijenga kwa upendeleo tena.
Jamaa anarohoo mbaya adi ndugu zake wa karibu kabisa wanawashangaa waTanzania kwa kumchagua kuongoza nchi hii.
Jamaa ana rohoo mbaya haijawahi kutokea; nyie yawezekana mnamsikia tu.
Wote ni mafisadi, wasiopenda wengine wawe mafisadiHata sijawahi kuelewa Ben why magufuli awe pendekezo la chinga khaaaaah
Mataga ni tusi?Kwa kuwa umehitimisha kwa tusi, sishabikii wala kujihusisha na ubishani wa aina hiyo "wrong number".
Subiri atoke kwenye kile kiti ndipo utaona hata wanaojifanya wanampambapamba sasa wanavyomgeuka.Magufuli sio presidential material. Ni mtu fulani tu hivi anyejenga madaraja na vivuko ,luteua ,kutumbua, na kuropoka
Mbona wanaccm tunaowajua hawapo kama yeye ?Sifa kuu ya Jpm Ni ubaguzi...
Roho yake mbaya anataka kuitumia Dodoma kuwarejesha Jimboni majina ya Mwakyembe, Bashite, Angela na wenzao, wajumbe wa kamati watawakataa lakini yeye atawapipisha kwa ubabe kwa visingizio kuwa report za Takukuru zinasema walioshinda walitumia Rushwa wakati hao wenyewe ndiyo walikuwa vinara wa RushwaYeye amekua Mbunge wa Chato miaka zaidi ya 10 na stend ilimshinda kujenga adi leo akiwa Rais ndo analazimisha kuijenga kwa upendeleo tena.
Jamaa anarohoo mbaya adi ndugu zake wa karibu kabisa wanawashangaa waTanzania kwa kumchagua kuongoza nchi hii.
Jamaa ana rohoo mbaya haijawahi kutokea; nyie yawezekana mnamsikia tu.
Yaani mko wachacheCCM wapo wengi Bungeni(ndiyo wenye majimbo mengi) , maana yake kama majimbo yao yote yangekuwa na maendeleo, Taifa lingekuwa mbali sana kiuchumi. Tunalia umasikini kila siku, changamoto ni zile zile maji, barabara, afya,elimu halafu anakuja hapa kuleta porojo za kijinga.
Ameanza kampeni kabla ya mda kapita kote huko Lindi na baadhi ya sehemu za pwaniDuh! Kumbe kampeni zimeisha anza!
Kipimo kikubwa ni Tabia yake ya kuwabambikia kesi kesi juu ya kesi wapinzani hususani chademakelvinlewis
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka wakati wa uhai wake kuwa hatukuwaita makaburu wa Afrika Kusini kwa ajili ya rangi yao nyeupe, la hasha.........
Aliendekea kusema kuwa yeyote ambaye ni mbaguzi, hata kama ni mweusi ni KABURU tuuu.......
Kwa matamshi aliyotamka Rais wetu kule Kilwa, na yeye ni KABURU pure!
Maendeleo ni lazima kwa walipa kodi,maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa CCMTatizo huyu mzee anaamini chama chake pekee ndio chenye uwezo wa kuleta maendeleo pekee ..jambo ambalo sio kweli
Mbunge anaitwa Bwege ,hajafanya chochote mpk leo.mnataka Rais afanyeje ?Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.