Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.

Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.

Chanzo: East Africa Radio
 
Hili la Kanisa Katoliki Kujenga Msikiti Paroko wangu niandalie maelezo nakuja huko. Mmetufundisha misingi ya Kanisa na kanuni zake lakini hili hamjawahi kutueleza.

Kila Jumapili unatuhubiri ukuu wa Yesu Kristo na kutuhimiza kumfuata. Kesho nitakuwa hapo niandalie majibu.
 
Hili la Kanisa Katoliki Kujenga Msikiti Paroko wangu niandalie maelezo nakuja huko. Mmetufundisha misingi ya Kanisa na kanuni zake lakini hili hamjawahi kutueleza. Kila Jumapili unatuhubiri ukuu wa Yesu Kristo na kutuhimiza kumfuata. Kesho nitakuwa hapo niandalie majibu.
Siasa mchezo mchafu sana
 
Waislamu wanajidharirisha sana yaani kanisa limepewa kazi ya kujenga msikiti hivi wanajielewa kweli hawa watu? Je Yale mafundisho wa mtume s.a.w wanayaelewa kweli au ndio lugha ya kiarabu imewafanya kukariri tu bila kureason

NAUSIKITIKIA UMMA WA KIISLAMU kama viongozi hawata paza sauti juu ya hili IPO siku nguruwe atauzwa msikitini na waislamu watamuogopa huyu mungu mtu
 
Kwanini hizo fedha asimrushie kwa Mpesa Askofu Niwemugizi ili iwe Takrima ya kusumbuliwa na maafsa wa uhamiaji
 
Back
Top Bottom