Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa paroko akupe majibu gani? Nenda kwa huyo mpenda sifa aliyechaangisha hizo pesa.Hili la Kanisa Katoliki Kujenga Msikiti Paroko wangu niandalie maelezo nakuja huko. Mmetufundisha misingi ya Kanisa na kanuni zake lakini hili hamjawahi kutueleza.
Kila Jumapili unatuhubiri ukuu wa Yesu Kristo na kutuhimiza kumfuata. Kesho nitakuwa hapo niandalie majibu.
Haiwezekani.Hiv kwa jambo hili la wakristol kuwa saidia waislamu kujenga msikiti.Je kwa waislamu itawezkna kwel kutoa ela ili ijengewa kanisa?
Wapi walisema, ?Si Waislam huwa wanasema Matajiri wakubwa Nchi hii Ni Waislam....
Mfumo KristoWaislamu wanajidharirisha sana yaani kanisa limepewa kazi ya kujenga mskiti hivi wanajielewa kweli hawa watu? Je Yale mafundisho was mtume s.a.w wanayaelewa kweli au ndio lugha ya kiarabu imewafanya kukariri tu bila kureason
NAUSIKITIKIA UMMA WA KIISLAMU kama viongozi hawata paza sauti juu ya hili IPO siku nguruwe atauzwa msikitini na waislamu watamuogopa huyu mungu mtu
Sawa!Hili la Kanisa Katoliki Kujenga Msikiti Paroko wangu niandalie maelezo nakuja huko. Mmetufundisha misingi ya Kanisa na kanuni zake lakini hili hamjawahi kutueleza.
Kila Jumapili unatuhubiri ukuu wa Yesu Kristo na kutuhimiza kumfuata. Kesho nitakuwa hapo niandalie majibu.
Hilo ndio jina la msikiti Almasjid parokia?Almasjid Parokia
Hili halitawahi kutokea hadi ukamilifu wa dahari!Hiv kwa jambo hili la wakristol kuwa saidia waislamu kujenga msikiti.Je kwa waislamu itawezkna kwel kutoa ela ili ijengewa kanisa?
Waislamu wanajidharirisha sana yaani kanisa limepewa kazi ya kujenga mskiti hivi wanajielewa kweli hawa watu? Je Yale mafundisho was mtume s.a.w wanayaelewa kweli au ndio lugha ya kiarabu imewafanya kukariri tu bila kureason
NAUSIKITIKIA UMMA WA KIISLAMU kama viongozi hawata paza sauti juu ya hili IPO siku nguruwe atauzwa msikitini na waislamu watamuogopa huyu mungu mtu
Usimlaumu yeyote hapo, kumbuka woga umetamalaki kwa sasa na kila mtu anatetea nafsi yake. Jiulize Baba Paroko wako aliombwa akamkabidhi Shehe husika mchango uliopatikana, kwanini aliyekabidhi leo si Baba Paroko ?Hili la Kanisa Katoliki Kujenga Msikiti Paroko wangu niandalie maelezo nakuja huko. Mmetufundisha misingi ya Kanisa na kanuni zake lakini hili hamjawahi kutueleza.
Kila Jumapili unatuhubiri ukuu wa Yesu Kristo na kutuhimiza kumfuata. Kesho nitakuwa hapo niandalie majibu.
Hiyo imetokeaje, wakati alimpa askofu ili awakabidhi hao wenye msikiti wao? Hii sasa ni kampeni!!!Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.
Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.
Chanzo: East Africa Radio
Ndio hivyo tena, Sheikh wa wilaya keshapokea!!Ukisikia kubugi ndio huko, hata hizo hela zikipokelewa na kujenga msikiti, watakao swali labda wawe wao wagalatia.Muislamu mwenye imani thabiti sidhani kama atafanya huo ujinga.