Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Waislamu wanajidharirisha sana yaani kanisa limepewa kazi ya kujenga mskiti hivi wanajielewa kweli hawa watu? Je Yale mafundisho was mtume s.a.w wanayaelewa kweli au ndio lugha ya kiarabu imewafanya kukariri tu bila kureason

NAUSIKITIKIA UMMA WA KIISLAMU kama viongozi hawata paza sauti juu ya hili IPO siku nguruwe atauzwa msikitini na waislamu watamuogopa huyu mungu mtu
Wewe utakuwa ni wale watoto wa dot.com
 
Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.

Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.

Chanzo: East Africa Radio
Ni jambo jema kwa manufaa ya taifa letu.
 
Kama hajui basi asiwe mbishi akubali kuna tatizo kila dini ina nguzo na kanuni zake hakuna dini usiyokuwa na kanuni

Ndio maana nikaeleza hapo juu kuna tatizo mahali
Sasa wewe unajua mtu hawezi kujinasua ndio kwanza unamkwamisha kwa kumuuliza jambo ambalo hawezi kujibu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!

Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!
Hakuna kilichokosewa. Ni kweli Mhe raisi alichangisha pesa kanisani ili kujenga msikiti.
 
Sasa wewe unajua mtu hawezi kujinasua ndio kwanza unamkwamisha kwa kumuuliza jambo ambalo hawezi kujibu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Huyo yeye anajibu kisiasa badala ya hoja niliyoileta aniita mimi kijana wa dot.com pengne mimi ni baba yake kiumri anajua kila MTU humu ni mtoto
 
Huyo yeye anajibu kisiasa badala ya hoja niliyoileta aniita mm kijana wa dot.com pengne mm n baba yake kiumri anajua kila MTU humu n mtoto
Kakukosea sana kama kakuita hivyo, jana kuna uzi nilipitia kuna jamaa akawa anatoa stori ya tukio lilotokea miaka ya 80! Pole sana chief!! Wengine hawajui kuwa humu kuna wakubwa zao. Msamehe buree!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Haina shida mkuu tupo pamoja
 
Humo zimo hela za faida ya kuuza kitimoto, kuuza ulabu nk. Ni vizuri kuona hatubaguani siku hizi.
Kwani kuna dhambi gani kuchangia ujenzi wa msikiti?

Mbona tunakula kitimoto na maulamaa mitaani na hawajakatazwa kuingia ibada zao?
 
Wewe Unaijua misingi ya uislam kuliko Alhaj anayefanya kazi na Rais wa nchi?.

Unaijua misingi kuliko Sheikh Mkuu?.
Kuwa sheikh mkuu hakumpelekei kutofanya makosa au kukengeuka sometimes, hata mtume mwenyewe kuna kipindi alitaka kukengeuka na ndipo ikateremshwa Sura An Nabai, kipindi alipomjia kipofu. Acha pumba!
 
Wewe Unaijua misingi ya uislam kuliko Alhaj anayefanya kazi na Rais wa nchi?.

Unaijua misingi kuliko Sheikh Mkuu?.
Kwa hyo kuwa alhaj ndio kujua sheria za dini kwa taarifa tuna maalhaj wengi tu kuna mdau kakuambia hata mzee yusuf n alhaj lakn anacheza taarab

Gwajima naye n askofu lakni amecheza filamu ya ngono katukana maaskofu wenzake hadharani

Tukubali tu kuna tatzo mahali katika hili kuwa mkuu wa sehemu fulan haimaanishi unajua kila kitu
 
Kuwa sheikh mkuu hakumpelekei kutofanya makosa au kukengeuka sometimes, hata mtume mwenyewe kuna kipindi alitaka kukengeuka na ndipo ikateremshwa Sura An Nabai, kipindi alipomjia kipofu. Acha pumba!
Pesa iliyochangwa tayari imeshaanza kununulia mifuko ya simenti wewe unakuja na sura za Quran!.

Ndio imeisha hiyo.
 
Kwa hyo kuwa alhaj ndio kujua sheria za dini kwa taarifa tuna maalhaj wengi tu kuna mdau kakuambia hata mzee yusuf n alhaj lakn anacheza taarab

Gwajima naye n askofu lakni amecheza filamu ya ngono katukana maaskofu wenzake hadharani

Tukubali tu kuna tatzo mahali katika hili kuwa mkuu wa sehemu fulan haimaanishi unajua kila kitu
Tatizo unalo wewe mwenye kujifanya una haki kuliko wengine.
Waliochangishiwa pesa kanisani wameshaanza kuitumia kwa lengo lililokusudiwa wewe humu jukwaani unalalama!.
 
Back
Top Bottom