johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa mchezo mchafu sanaHili la Kanisa Katoliki Kujenga Msikiti Paroko wangu niandalie maelezo nakuja huko. Mmetufundisha misingi ya Kanisa na kanuni zake lakini hili hamjawahi kutueleza. Kila Jumapili unatuhubiri ukuu wa Yesu Kristo na kutuhimiza kumfuata. Kesho nitakuwa hapo niandalie majibu.
Chadema wapendeni waislamu!Almasjid Parokia
πππ ππAlmasjid Parokia
KumekuchaKwanini hizo fedha asimrushie kwa Mpesa Askofu Niwemugizi ili iwe Takrima ya kusumbuliwa namaafsa wa uhamiaji
Mimi ni msilamu nimekwazwa sana na hizi sadaka zilizochangwa mbele ya msalaba.Chadema wapendeni waislamu!