Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Kama Magufuli anadhani imani ni rahisi kihivyo siku moja akialikwa msikitini akawaambie waislamu watoe sadaka ya kujenga kanisa kisha aone kama atapata senti hata moja!, Labda kutoka kwa watu kama shehe Alhadi!
 
Kwa hiyo Sheikh siku ukipitia Chamwino kwa bahati mbaya, uko radhi kuswali uwanjani ila siyo kwenye Msikiti ambao hela za ujenzi wake zimetokana na michango ya Wakristo, Wakatoliki na walaji wakuu wa mbuzi katoliki!
 
Nn Alhaj we?uislamu hauangalii cheo cha mtu,ikiwa Mtume mwenyew kuna mambo aliwekwa sawa na Mungu itakuwa hao unaowataja?hii ndio sababu ya tofauti kubwa kati ya uislamu na dini nyinginezo
Pesa iliyochangwa inakwenda kujenga msikiti.

Mengine yote yanayosemwa hayana la maana.
 
Kama Magufuli anadhani imani ni rahisi kihivyo siku moja akialikwa msikitini akawaambie waislamu watoe sadaka ya kujenga kanisa kisha aone kama atapata senti hata moja!, Labda kutoka kwa watu kama shehe Alhadi!

Tungekuwa ni watu wa chuki kama mawazo yako yalivyo tusingedumu kama taifa tangu 1961.
 
Hizo ni poor assumptions za kwako binafsi.

Wakristo haswa wakatoliki huwa tunakuwa na ardhi nyingi tunayoitumia kujenga kanisa shule za sekondari za msingi na masuala mengine ya kimaendeleo.

Rais ni mtu mwerevu aliyefanya maamuzi kwa kuzingatia mahitaji ya wasaidizi wake katika masuala ya kiroho, sidhani kama ni uamuzi wake binafsi.
 
Kwa Mungu sisi wote ni watenda dhambi na tumepungukiwa utukufu ndio maana kila dini inamkumbusha mtu juu ya umuhimu wa kutubu kadri awezavyo.

Kujihesabia haki ni mlango wa dhambi.
 
Mkuu sikujua kumbe we n mkatoliki halafu unataka kuwasemea umma wa kiislamu

Hilo haliwezekani sisi wenye dini yetu tunakueleza kanuni zmekiukwa wewe mkatoliki unasema hazijakiukwa sasa sijui unahitaji nini juu ya swala hili
 
Even though hakuna muunganiko wa kiimani baina ya wakristo na waislam, zaidi ya kuwa wote ni watanzania, ila kila dini ina mambo yake, hata kama wana maeneo yao, hio haijaalishi hata waislam nao wana maeneo yao.
 
Kwa hiyo Sheikh siku ukipitia Chamwino kwa bahati mbaya, uko radhi kuswali uwanjani ila siyo kwenye Msikiti ambao hela za ujenzi wake zimetokana na michango ya Wakristo, Wakatoliki na walaji wakuu wa mbuzi katoliki!
Kwasisi waislam ibada ni zaidi ya jengo, ndio maana hata ukiwa popote palipo safi unaweka msala unaswali.
 
Kama Magufuli anadhani imani ni rahisi kihivyo siku moja akialikwa msikitini akawaambie waislamu watoe sadaka ya kujenga kanisa kisha aone kama atapata senti hata moja!, Labda kutoka kwa watu kama shehe Alhadi!
Binafsi sina imani na Shekhe Alhadi, muhuni wa Makadara, nimeshangaa kuja Dar namkuta ni shekhe![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Haya mambo yanataka moyo aisee, juzi wametuvunjia UDOM leo wanatusaidia kujenga kwingine, kama kweli wanatupenda wasingetuvunjia UDOM
 
Masjid Bikira Maria bin Immakulata
 
Mkuu sikujua kumbe we n mkatoliki halafu unataka kuwasemea umma wa kiislamu

Hilo haliwezekani sisi wenye dini yetu tunakueleza kanuni zmekiukwa wewe mkatoliki unasema hazijakiukwa sasa sijui unahitaji nini juu ya swala hili
Hakuna cha kanuni mkuu. Waislam kama wewe wanafanya kazi na rais mkatoliki.

Unataka waendelee kukosa ibada za ijumaa kisa pesa hazipaswi kutoka kwa mkristo?

Achana na roho ya kimaskini mkuu.
 
Hakuna cha kanuni mkuu. Waislam kama wewe wanafanya kazi na rais mkatoliki.

Unataka waendelee kukosa ibada za ijumaa kisa pesa hazipaswi kutoka kwa mkristo?

Achana na roho ya kimaskini mkuu.
Hivi unajua sharti za swala ya Ijumaa? Au unajisemea tu ili uonekane umesema?
 
Hivi unajua sharti za swala ya Ijumaa? Au unajisemea tu ili uonekane umesema?
Hao waliomshauri rais mpaka kufukiza hatua ya kujenga msikiti hapo Chamwino ni waislam kama wewe sasa usijidai wewe kuwa unaujua uislam kuliko wao.

Wasaidizi wa karibu kabisa wa Rais ni waislam na wanayo haki ya kuswali wakiwa eneo Lao la kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…