Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee kwa unafiki hana mfanowe!! Kuna Rais nchi hii aliyeendeleza kwao kama yeye?
Tumuulize yeye aliweka taa za barabarani chato kwa umuhimu gani?
Airport Chato na tawi la CRDB aliloshinikiza liwekwe Chato huku wafanyakazi wakishinda wamesinzia tu kwakukosa customers nani aloshinikiza yaende huko?
Huyu mzee sidhani kama yuko sawa upstairs maana hana aibu wala haya
Huenda hata ile Eyapoti walipoijenga Chattle Rais wetu Kipenzi alichukia sana ila akashindwa tu kuwakemea..Jamaa MNAFIKI sana huyu. Anajua kweli kucheza na akili za majuha ili kuscore political points.
mkuu hiyo Sanaa tu script ishandikwagaSijui ni nani anawadanganya kuwa Magufuli hana werevu wa kuzitambua hila mbalimbali.
Watendaji wanatakiwa wafanye kitu Chato kwa sababu kinahitajika kufanyika, siyo kwa kujipendekeza kwa Rais. Tena ingekuwa ni vema jibu lile la Rais lingeambatana na barua ya onyo na kushushwa cheo kwa kosa la kutaka kumhadaa Mkuu wa Nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu alienda kuchukua form akanyimwa?Kama rais ni mwerevu sana na hataki watu wajipendekeze kwake na chattle, basi aruhusu tu bunge lijalo lijadili kuhusu uwanja wa ndege chattle tuone kama bunge liliidhinisha ujenzi wake au nani alishurutisha kiwanja kijengwe kule. Magu anajua kwamba demokrasia haitakuwa upande wake siku zote na ndio maana hakuruhusu mpinzani ndani ya ccm. Mbona hakuwaambia wana-ccm wasijipendekeze kwake katika kumsimamisha mgombea mmoja tu kutoka ccm?
Ulitaka akajenge kwenu?Huyu mzee kwa unafiki hana mfanowe!! Kuna Rais nchi hii aliyeendeleza kwao kama yeye?
Tumuulize yeye aliweka taa za barabarani chato kwa umuhimu gani?
Airport Chato na tawi la CRDB aliloshinikiza liwekwe Chato huku wafanyakazi wakishinda wamesinzia tu kwakukosa customers nani aloshinikiza yaende huko?
Huyu mzee sidhani kama yuko sawa upstairs maana hana aibu wala haya
Na kufukuzwa chama walifukuzwa, huu udikteta una mwisho wake na mmbaya.Kuna mtu alienda kuchukua form akanyimwa?
mkuu nakuunga hoja yako nimetafakari sana kauli zake leo hata ile ya kuvionya vyombo vya dola eti visitumie nguvu bado nayo yafaa tuitafakariJamaa MNAFIKI sana huyu. Anajua kweli kucheza na akili za majuha ili kuscore political points.
hata kama Brigedia hakujua kuna ofisi tayari Chato, TAKUKURU walitumia vigezo gani kujenga Chato, off all the hundreds of districts in the country ambazo hazina ofisi, presumably including Chato, angeweza kujibu ??ajitafakari sana, maana yawezekana hata hakujua kama Chato tayari kuna jengo la Takukuru.
Una akili sanaUchaguzi umewadia!
Walitakiwa wampangie Nyumba mtumishi wao na sio kubadili ofisi kuwa Nyumba ya kuishi labda Kama jengo lingekuwa na nafasi kubwa kuweka ofisi na makazi.“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati akizindua Majengo saba ya TAKUKURU Dodoma leo
•
“Mjipendekeze Chato wakati nimeshaondoka kwenye Urais, Chato wana Ofisi ya TAKUKURU, mnajenga nyingine yanini? au ulifikiri nitafurahi ukisema Chato? mimi moyo wangu umeshakuwa Sugu, Spika anasema hakuna Ofisi Kongwa hiyo mliyotaka kujenga Chato mkajenge Kongwa” -JPM
View attachment 1513915
View attachment 1513916
View attachment 1513918
Mbona ilipokuwa inajengwa international airport hakufungua mdomo wake?“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati akizindua Majengo saba ya TAKUKURU Dodoma leo
•
“Mjipendekeze Chato wakati nimeshaondoka kwenye Urais, Chato wana Ofisi ya TAKUKURU, mnajenga nyingine yanini? au ulifikiri nitafurahi ukisema Chato? mimi moyo wangu umeshakuwa Sugu, Spika anasema hakuna Ofisi Kongwa hiyo mliyotaka kujenga Chato mkajenge Kongwa” -JPM
View attachment 1513915
View attachment 1513916
View attachment 1513918
Naam huu ni ujumbe muruwa kabisa kwa wote wanaojipendekeza kwa Namba Moja.“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati akizindua Majengo saba ya TAKUKURU Dodoma leo