johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Upo sahihi kasoro sehemu moja tu. Kila mfanya biashara akisoma sheria za kodi haitasaidia maana huwezi kuwaza mzigo utaupata vipi kwa bei rahisi huku unawaza PAYE, WT,SDL,CT, PIT, Assessment, Provision n.kVita kati ya wafanyabiashara na TRA haitaisha kamwe kwa sababu zifuatazo...
Uko sahihi. Simaanishi wafundishwe wawe wataalamu. Ila wafundishwe ili waone umuhimu wa kuwatumia wataalamu. Just wapate ABC kujua compliance ina hitaji nini na nini kwa juu juu.Upo sahihi kasoro sehemu moja tu. Kila mfanya biashara akisoma sheria za kodi haitasaidia maana huwezi kuwaza mzigo utaupata vipi kwa bei rahisi huku unawaza PAYE, WT,SDL,CT, PIT, Assessment, Provision n.k
Vijana wenye elimu ya fedha wajifunze kuhusu kodi, wafanyabiashara tujifunze kuwatumia hawa vijana kwa malipo.
Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki.
Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa.
Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA wamekuwa na tabia ya kutoa makadirio makubwa na baadae kuomba wapewe rushwa ili wayapunguze.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Shida ya TRA ni mindset hasi ya watendaji kwa wafanyabiashara, kufanya kazi kwa mazoea, kukimbizia malengo kwa hofu bila kueleza ukweli kuwa hayafikiki,kukosa ubunifu wa kupanua wigo wa kodi ili idadi kubwa ya wananchi washiriki kulipa kodi ya moja kwa moja direct tax na hususani kupunguza sekta isiyo rasmi. Mwisho kupenda Rushwa hususani vijana wasio na uzalendo. Kuna haja ya kuangalia upya sera,sheria na kanuni za kodi na tozo.This has been a general cry all over the country. Kuna watu naamini hawastahili kuwa TRA. Hawana nia njema kabisa na kuboresha mazingira ya biashara wala kuhakikisha sector binafsi inakua ili ajira ziongezeke
Njaa inapotangulia mbele, hapo hakuna namna haki itatendeka. Ninachoogopa ni wao kukosa kabisa uoga kumaliza biashara za watu kwa kodi zisizolipika. That is extremely worrying trend.Shida ya TRA ni mindset hasi ya watendaji kwa wafanyabiashara, kufanya kazi kwa mazoea, kukimbizia malengo kwa hofu bila kueleza ukweli kuwa hayafikiki,kukosa ubunifu wa kupanua wigo wa kodi ili idadi kubwa ya wananchi washiriki kulipa kodi ya moja kwa moja direct tax na hususani kupunguza sekta isiyo rasmi. Mwisho kupenda Rushwa hususani vijana wasio na uzalendo. Kuna haja ya kuangalia upya sera,sheria na kanuni za kodi na tozo.
Kabisa boss. Upo sawa.Uko sahihi. Simaanishi wafundishwe wawe wataalamu. Ila wafundishwe ili waone umuhimu wa kuwatumia wataalamu. Just wapate ABC kujua compliance ina hitaji nini na nini kwa juu juu.