Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

Hiyo TRA ni yakufumua yote isukwe upya na damu changa. Kuna wazee waume kwa wake wamejazana mule hao ndo vinara wa rushwa wazoefu. walinisababisha nikafunga biashara yangu
Wapo pia vijana wengi wanapenda short cuts za kimaisha nao wanaweza kula rushwa.
 
Wapo pia vijana wengi wanapenda short cuts za kimaisha nao wanaweza kula rushwa.
Kwanini msiwaroge.??

Watanzania acheni kulia lia.

Mtu akikudhurumu mpige picha kisiri au chukua majina Yake nenda hapo Pemba au tanga wilaya ya lushoto Kijiji flani hivi.

Lazima waisome namba kwa kufa au kuteseka kwa kula haki za watu.


Msiwe mnategemea serikali kwa kila kitu. Mambo mengine fanyeni kwa uwezo wenu ili kutia adabu. Mtu anakuomba rushwa na ni haki yako. Wewe mpe kiroho Safi halafu mfanyie unyama.

Maisha yenyewe mafupi haya. Mtie adabu haswa.
 
RAIS ungezuia pia uonevu kwenye maofisi ya umma.
 
Nakuunga mkono mkuu ila kwenye ushauri uliutoa ningeongezea bidhaa za vyakula ambavyo ni muhimu kama unga, mchele, maharage nk, visiwe na VAT

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Toka wameanza kuambiwa waache kubambikia watu kodi kama mpaka leo hawajaacha basi hawataacha milele.
Mkuu hizo ni siasa!!wao TRA, wanafuata miongozo iliyopo, kwani mala nyingi ndio wanaitumia, bora angesema kabisa, mfano, bwana kama mauzo yako kwa siku ni 20,000 -100, 000 kodi yako itakuwa 50, 000 kwa mwaka!!!(THUBUTU),
 
Kwaiyo saivi anajifanya mwema kwetu
 
Rais Ni msikivu, na amewaunga mkono wabunge NAPE NAUYE na Konstantin Kanyasu. Kwa hiyo Yule Waziri aliyetetea task force za kunyanyasa wafanyabiashara, kapigwa za uso
 
Tena kwa taarifa yako, mfanyabiashara mdogo bora aende tu akadiriwe kodi kutokana na mauzo atakayoyataja mwenyewe, lakini apeleke kitabu cha mauzo ni kiamaaa!!
 
Pole sana
 
Na bado !
 



Ni matatizo ya pande mbili ukisikiliza hiyo clip kama wafanyabiashara wana michezo hiyo nchi za wenzetu asilimia kubwa ya hayo makosa aliyoorodhesha Sabaya sio ya fines za juu tu, jela inahusika na ukitoka ukisema uendelee na biashara elewa hesabu zako zinakuwa under close scrutiny ya HMRC (TRA wa UK) kwa miaka mitano mpaka ishirini.

Ni very serious offences wakati hapo kwenye huo mkutano wa Sabaya wafanyabiashara wanadhani ni maswala ya kucheka.
 
Uko sahihi. Simaanishi wafundishwe wawe wataalamu. Ila wafundishwe ili waone umuhimu wa kuwatumia wataalamu. Just wapate ABC kujua compliance ina hitaji nini na nini kwa juu juu.
Hili suala la kodi liingizwe ktk mitaala ya elimu kuanzia ngazi ya shule ya msingi liwe somo km masomo mengine. Kila mtu apate basic knowledge juu ya masuala ya kodi. Badala ya kuwepo clubs za kodi ambazo sion tija yk kwn hazilazimishi kujiunga nazo. Moja kati ya elimu muhimu na ioo applicable in our daily life ni kodi. Mfanyabiashara, mwekezaji, mjasiriamali na hata mwajiriwa anauhitaji wa elimu hii japo zile basics tu
 
Tena kwa taarifa yako, mfanyabiashara mdogo bora aende tu akadiriwe kodi kutokana na mauzo atakayoyataja mwenyewe, lakini apeleke kitabu cha mauzo ni kiamaaa!!
Ukiona hivyo basi ujue kuna mahali kitu hakijakaa sawa. Hasa kwenye mfumo wetu wa kodi.
 
Mi naona ris hayuko serious na hili kwani TRA hawashtuki hata kidogo badala yake wameendelea kutesa wafanyabiashara bila kujali kauri zake.

Baada ya kile kikao cha rais na wafanyabiashara nikajua Tra watabadirika lakini hakuna kilichofanyika.
Wanakuja na mbinu ya kuvunja record ya makusanyo ili kumpoza, nayeye anapozeka ,mchezo unaendelea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu jitahidi matumizi ya R&L
 
yeye ndiyo ana watuma wavuke malengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…