Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kabla ya kuwachukulia hatua, wajiulize kwanini wafanyabiashara wanadanganya kutoa risiti zisizo sahihi au kutotoa kabisa,Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Kwa wasiotoa risiti za kweli
Kwa wasiotoa risiti za kweli
Asante Rais Magufuli kwa kuliona hilo.Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Ni Tanzania tu ndiko Rais ana deal na trivialities yaani nitty gritty. Kweli mnampeleka mtu Ikulu badala ya ku-deal mambo strategic ya kujenga uchumi anaanza ku- deal na risiti za petrol station za Ths 10,000.Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.