Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

Me nadhani serikali na tra wangeanza kufanya tafiti na majaribio ya kulipa kwa mtandao/digital transfer via bank a/c au mitandao ya simu. kwakuanzia malipo ya manunuzi yeyote yanayozidi 20k yalipwe kwa tiGO,M/pesa,benk lips au kwa mtandao wowote,ili mradi sio hard cash

Napendekeza wangeanza na miji kadhaa mikubwa tz eg dsm,mwanza na majiji yote
 
Serikali ya Awamu ya 5 inahangaika na ukusanyaji wa kodi kwa watu wadogo wadogo kwa kutumia nguvu nyingi sana. Hii ni matokeo ya kuvuruga mfumo wa biashara nchini. Makosa makubwa aliyofanya JPM ni kuwa-frustrate big Tax payers. Katika kila nchi kuna 20% ambayo inalipa Aslimia 80 ya kodi yote ya nchi. Magufuli ndiyo angehangaika na hiyo 20% kwa kuwa ni rahisi kui- monitor.

Hii inayobakia ambayo ni 80% ya walipa kodi ambako kuna wenye daladala, wafuga kuku, maduka ya akina mangi na wapemba yenyewe inachangia Asilimia 20 tu ya mapato, hiyo angaiacha iendelee kukua taratibu huku akitumia nguvu za wastani katika kukusanya mapato.

Kwa kitaalamu hiro inaitwa Pareto principle au 20/80 principle. Yaani ni asilimia 20 tu ya walipa kodi wote ndiyo huchangia 80% ya mapato yote.

Kutaka ukusanye kodi sahihi kwa asilia 80 inayobakia utahitaji kuwekeza nguvu nyingi ambapo mwisho wa siku gharama ya ukusanyaji itakuwa kubwa kuliko kinachokusanywa.
 
Back
Top Bottom