Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu wanaijua na wewe unaijua! Wafanyabiashara wanataka kupata faida kubwa sana.Kabla ya kuwachukulia hatua, wajiulize kwanini wafanyabiashara wanadanganya kutoa risiti zisizo sahihi au kutotoa kabisa,
Badala ya mamlaka kuwachukulia hatua watafute sababu ni nini au kwnini kuna udanganyifu, kwanini wafanyabiashara wanakwepa kutoa risiti
Ila ukae ukijua hao hao wengi wanao kwepa kodi ndio wanao kimbiza mzunguko wa pesa mtaan kwa sababu ndio wanao fanya hata makontena bandarin haya kai sana. ila hili utaligundua ukiwa na jicho la kiuchumi.Ni Jambo jema Sana mkuu jiwe..
Ni Bora kubaki na wafanya biashara Wachache wanaolipa Kodi kwa uaminifu kuliko kuwa na wafanya baishara wengi waliojaa wizi na ujanja katika kulipa Kodi kwa serika angali Sisi wananchi tunalipa Kodi kwa uaminifu Kupitia bidhaa zao.
Sheria ya kodi inasema kuwa mfanyabiashara atatozwa kodi ya mwaka kutokana na mauzo yake ndani mwaka(siyo katika faida).Hivi wafanyabiasha kwanini hamtaki kutoa receipt za mashine ya EFD mfanyapo mauzo?
kuna uwezekano wa Tanzania Kukusanya Kodi Kubwa Tu na wafanya Biashara na TRA wakawa na amani na furaha katika utendaji wa majukumu yao.Kuna matatizo Kwenye idara za Serikali pamoja na TRA,ambayo kama ayatofanyiwa kazi tutabaki na lawama kila kukicha,EFD ni chanzo cha mapato Kiduchu na Kila kukicha tutaendelea kukusanya Kodi ndogo ,atuwezi kuongeza mapato hapa nchini kwa mfumo uliopo sasa ndani ya TRA .kwa nyakati tofauti,tofauti nimejaribu kuonana na kushauri hili kwa wahusika,awasikilizi !Why China wanakozalisha 80% EFD machines awazitumii kukusanyia kodi? Why Kenya wana EFD lakini awana Songombingo kama TZ?,Why USA,UK na India no drama kwenye ukusanyaji wa kodi?kule Bandalini ile metered Fuel Pump ipo na inafanya kazi?au bado meli zinashusha mafuta kwa kukadiria??Mungu ibariki Tanzania[emoji120]
Wakati mwingine ni uhuni au ni serikali yenyewe inachangia hilo tatizo kuwepo, lkn wasomali wamezidi yuko tayari asikuuzie kisa umetaka risiti, hapo ndipo ninapofikiri serikali ilikosea au inahitaji marekebisho kila mfanyabiashara alipe VAT na ikifanya hivyo hilo tatizo litaisha, mara nyingi anayeitaji risti ni yule mlipaji wa VAT kama mfanyabiashara halipi VAT hana habari na mambo ya risti.Kabla ya kuwachukulia hatua, wajiulize kwanini wafanyabiashara wanadanganya kutoa risiti zisizo sahihi au kutotoa kabisa,
Badala ya mamlaka kuwachukulia hatua watafute sababu ni nini au kwnini kuna udanganyifu, kwanini wafanyabiashara wanakwepa kutoa risiti
Serikali yenyewe kuna mahala inakwepa kodi utadhani katika nchi hii kuna nchi mbili au kuna mahala kuna msamaha, angalia; kwa jiji la dar es salaam hauwezi kufanya biashara na idara ya serikali kama wewe hujaasajiriwa na VAT lkn kwa mikoani hasa kwenye Halmashauri wewe uliyesajiriwa na VAT ukipereka bei zako zenye VAT unafukuzwa kama mbwa labda kwa kazi flanflan kubwa hizo wanakubali kulipa kodi/ VAT, sasa kwa mazingira kama hayo uoni serikali ndiyo inayoshawishi watu wakwepe kodi?Asante Rais Magufuli kwa kuliona hilo.
TRA wamelala usingizi wa pono. Duniani kote kodi lazima ilipwe! Nchi za wenzetu unafanya kulazimishwa risiti yako inaingizwa mfukoni. Maduka mengi hasa super markets kwa Tanzania ni mfano wa kuingwa.
Wizi huu kwa sasa umeshika kasi kwenye vituo vya mafuta. Mashine hazitoi risiti na kuna risiti za aina mbili.
Nashauri TRA wangetoa zawadi hata asilimia mbili ya pesa inayoibwa kwa kutokutoa risiti au kupewa risiti feki zoezi lingeenda kwa kasi kubwa nchi nzima. Ukitaka kula lazima uliwe by JK
Queen Esther
Mkuu hufahamu sheria huwa zinatungwa bungeni?Bunge lipi linapanga na kupitisha sheria? Sheria zote zinapangwa na kupitishwa na wizara, huko bungeni ni rubber stamp tu.
Atupatiege risiti ya ile 1.5T kwanza ili twendage sawa 😌 ~ aliskika mlevi mmoja toka kilabu cha pombe maeneo ya Mbalizi.Kweli ni kosa kutoa receipt isiyo na figure ya kweli, ila hata yeye juzi ametangazwa mshindi kwenye uchaguzi kwa matokeo yasiyo ya kweli. Tabia anayoikataa kwenye receipts, ndio tabia iliyompa madaraka. Pamoja na kuwa kweli kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatoa receipts Zen figure ndogo kulingana na figure halisi, lakini ukweli ni kuwa makusanyo yameshuka kutoka na maamuzi yake mabovu kwenye sekta ya biashara.
Mfanyabiashara kukwepa kukipa kodi eliwa kuna Tatizo sehem.Ni Jambo jema Sana mkuu jiwe..
Ni Bora kubaki na wafanya biashara Wachache wanaolipa Kodi kwa uaminifu kuliko kuwa na wafanya baishara wengi waliojaa wizi na ujanja katika kulipa Kodi kwa serika angali Sisi wananchi tunalipa Kodi kwa uaminifu Kupitia bidhaa zao.
Hahahahah you killed on dat 1!This nigga was supposed to be a small scale farmer somewhere in chaitooo.
Kodi kimantiki inamgusa zaidi mtu wa mwisho yaani mimi na wewe, kwa kiasi fulani mfanyabiashara kwanza lielewe hilo!Ni Jambo jema Sana mkuu jiwe..
Ni Bora kubaki na wafanya biashara Wachache wanaolipa Kodi kwa uaminifu kuliko kuwa na wafanya baishara wengi waliojaa wizi na ujanja katika kulipa Kodi kwa serika angali Sisi wananchi tunalipa Kodi kwa uaminifu Kupitia bidhaa zao.
Naam..!! Kwa mantiki hii wafanyabiashara ndo watetezi bali serikali inawakamua walaji. Je, mlaji ana uwezo wa kubeba mzigo wa kodi?Kodi kimantiki inamgusa zaidi mtu wa mwisho yaani mimi na wewe, kwa kiasi fulani mfanyabiashara kwanza lielewe hilo!
Wanachogoma wafanya biashara ni mazingira ya kufanya biashara na mteja ambaye hana uwezo wa kumudu ongezeko la kodi.,
Mfanyabiashara hata ukimtoza kodi kubwa ana uwezo wa ku bypass gharama zote zikaenda kwa mtu wa mwisho na yeye asiumie .
Hajui !!! Vat ni kodi kwa mlaji wa mwisho, wafanyabiashara sio kwamba wanaiogopa Vat , bali huyo mlipaji mwenyewe ndio chokambaya.Mwisho wa siku BEI ZA VITU ZITAPANDA..
hyo VAT utailipa wewe
Hajui !!! Vat ni kodi kwa mlaji wa mwisho, wafanyabiashara sio kwamba wanaiogopa Vat , bali huyo mlipaji mwenyewe ndio chokambaya.
Kodi kutolipika inaanza kwanza na umasikini wa mtanzania
Ona wenzetu VAT rates zao......VAT 18% ndio mchawi! VAT ikiwa 9% mambo yangekua poa sana!
Wauzaji wengi wanaandika bei ya uongo ili wasiumizwe na VAT.
Bahati mbaya wateja wanawasaidia kudanganya. Dawa ni kupunguza kodi.