Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Natoa tu ushauri kutokana na heshima kubwa ambayo komredi Polepole amekijengea chama basi ni vema siku atakayoapishwa na Spika tukio hilo lifanyike ukumbi wa Pius Msekwa.

Hongera komredi Polepole kwa kuteuliwa kuwa mbunge.

Maendeleo hayana vyama!
 
Na wao wataapishiwa gereji hata bi juwepo kwa SIWA au watasubili Hadi vikao vianze?
 
Naomba kufahamishwa zaidi juu ya Bi Riziki Said. Je aweza kuwa anaenda kutwaa nafasi ya Umi?
 
Back
Top Bottom