Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Chama Mbunge ni cheo kidogo maana nafasi ya maamuzi anayoishia ni kamati ya siasa ya wilaya na mkoa (sina uhakika sana kuhusu k/siasa mkoa). Mbunge haingii H/Kuu taifa. Halmashauri kuu CCM taifa ni chombo cha pili kikubwa kwa maamuzi baada ya Kamati kuu CCM taifa ambapo ndugu Polepole alikuwa ni katibu idara ya uenezi, siasa na itikadi.Hivi katibu muenezi wa chama na kuwa mbunge, nani anakuwa na cheo kikubwa?
👊 👊Kweli hakuna aijuaye kesho yake
Wabunge Wateule hao wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hilo sisi halituhusu.Aliyemteua alishinda urais?
Subiri hapo hapo usiondoke ngoja nikakutafutie jibu nitakuja kukuambia 😂😂Aliyemteua alishinda urais?
2/3 hawajitokezi alafu kuna manunda yanadai yameibiwa kura...Ya kupanga wizi wa kura? Unafanya kazi kubwa kisha 2/3 ya wapiga kura hawajitokezi, au ndio mambo ya kuvikana vilemba vya ukoka?
Nipo humoZimebaki nafasi 8 za uteuzi wa Wabunge.
2/3 hawajitokezi alafu kuna manunda yanadai yameibiwa kura...
Na ndio rais anayefuata huyu.Na pia anastahili Uwaziri kwa asilimia zote, utumishi na utawala, bora, sera uratibu na shughuli za bunge.
Amani ya moyo na umasikini mifukoni??? HongeraAman ya MOYO...unafikiri kuishi kinafiki NI kazi ndogo?pesa utapata,but hautakuwa na AMANI..NI KAMA PESA YA KUUA MTOTO