Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Hapana, siyo dharau. Angalau sasa naanza kuona kitu hapa, nilikuwa kabisa sielewi nini kinaendelea. Ni haya maswala ya watu wataalamu wa kufikiria, believe me!Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.
Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu