Hapana, siyo dharau. Angalau sasa naanza kuona kitu hapa, nilikuwa kabisa sielewi nini kinaendelea. Ni haya maswala ya watu wataalamu wa kufikiria, believe me!Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.
Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu
Siwezi kushangaa, kampeni zake 2015 alisema kwny serikali yake mtu akiharibu sehemu moja kamwe hatahamishiwa sehemu nyingine atamfukuza tu.Mimi naona mwenyekiti na yeye wangemzuia kugombea mimi naisi asingefika hapo alipo hii ni kuzuia demokrasia
Kati ya mtu naona anaenda kuchemka ni Katambi na Olesendeka
Magufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.
Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
Hahahaha, Mh Rais MTU wa huruma, ukiomba msamaha unasamehewa na kupewa shavu jingineSiwezi kushangaa,kampeni zake 2015 alisema kwny serikali yake mtu akiharibu sehemu moja kamwe hatahamishiwa sehemu nyingine atamfukuza tu.
Lkn tumeona kwa Mwigulu,Simbachawene,Kamishina Andengenye aliwaponda balaa wkt wa kuwatumbua ila baadae akawarudisha serikalini na kuwapa vyeo huku akisema ni wazalendo haswaa.
Ni matumizi tu mabaya ya kodi zetu. Badala ya kuteua Wataalamu, unawateua Wanasiasa wenzako! Unategemea nini muda wa kufanya hiyo siasa utakapofika/utakapowadia? Ni lazima tu wakukimbie ili wakatafute malisho ya uhakika.
Na tutamshangaa sana Rais iwapo atawateua tena watu wa aina hii iwapo watashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama au hata kushindwa kabisa kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
Mimi naona mwenyekiti na yeye wangemzuia kugombea mimi naisi asingefika hapo alipo hii ni kuzuia demokrasia
HahahahaKijazi wa TANAPA ameteuliwa kua Naibu katibu Wizara ya Mali asili huku akiendelea pia na u-boss wake pale PANAPA.
Hao ndio wenye nchi sasa,wanyonge walie na umaskini wao tu.
Ndio madhara ya kumzuia mbwa kubweka wakati ndo utamaduni wake. Basi hata na mawaziri watumbuliwe maana na wao wameacha ofisi wamekimbilia majimboni kugombea. Tena wengine ni wateule kabisa na hawakuwa na majimbo. Mfano Mzee wa jalalani, Mwl wa hesebu (Ndalichake), Buhingwe kule kwa Mwl Mpango na wengine weeeeeengi tu akiwepo First lady mstaafu.
Hahah atuonee huruma na sisi wanyonge mkuu.Hahahaha, Mh Rais MTU wa huruma ,ukiomba msamaha unasamehewa na kupewa shavu jingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoka na basi la saa 12 asubuhi anawahi Kilimanjaro kuchukua form, watakuwa huko Rombo na yule prodyuzaProf Mkenda wa Maliasili naye ameenda kutia nia au kastaafu?
Hahah Agness, Balozi, TANAPA ni kula maisha tu mzee baba.Hahahaha
Hivi Hawa akina Kijazi wako wangapi huko serikalini ?
Tanapa
Ikulu
Hali ya hewa
Kote huko nadhani kuna Kijazi au nachanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapewa double plate. Yupo kotekoteIna maana Kijazi itabidi aachie kiti cha TANAPA siyo?