Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Nafasi za kisiasa JK alikuwa anaacha watu mikoa au wilaya zinakaa wazi hata mwaka mzima, usitufanye hatujui
 
Hizo nafasi hazina uhakika, ubunge ni uhakika miaka 5
Sasa kama hata hizo kura za maoni zenyewe hazitoshi tu kuwa mgombea,, hadi itegemee tena na yeye ameamkaje!! Kuna nini hapo?!! Kama amewakata kwa kukusudia, hata huko walikokwenda hawatapita kamwe!!!
 
Hapa ndo naamini huyu bwana hao watu wote amewatuma..kinachofanyika hapa ni usanii wa kisiasa na amewatuma hao vijana wagombee ili wamsaidie kupindua katiba.
 
Prof. Kitila mkumbo ametia Nia wapi?? Mbona sijapata habari zake!
Au ndio imetosha wanakuja wenye ccm Yao.
 
Prof. Kitila mkumbo ametia Nia wapi?? Mbona sijapata habari zake!
Au ndio imetosha wanakuja wenye ccm Yao.
Kitila Mkumbo anaweza kuongea tu,kufanya vitu hawezi, nakumbuka kabla hajachaguliwa alikuwa anakosoa sana serikali,baada ya kuteuliwa hakuonyesha jipya lolote.
 

Vyeo vya shukrani vinaachwa Sasa arudie Tena makosa yake kuwateuwa wanasiasa.
 
Kwani amewazuia kufanya nini!!

Nyie si ndiyo mnaolalamikia ajila!!

Ana kazi aache navwengine wapate kazi. Ameacha kazi wengine wanapewa kazi. Kosa la Magu likobwapi hapo
 
Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.

Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu


Kajifunze siasa, Hasa za ccm! Ccm nichama kikongwe africa, hasa baada ya jpm kuwa mwenyekiti wao.

Ukitaka kuamini hilo , angalia kiasi cha fedha kilichoingizwa ktk chama na watia nia. Zaidi ya 890ml.

Hizo pesa za form zinatosha kuperekesha upinzani pakubwa sana.

Hao unaodai wametumbuliwa, nakwamba wamemdharau mwenyekiti wao!! Ndio namba ambayo wapinzani watakuja kuisoma hapo baadae! Mdao huo mnabadilisha mziki na wachezaji hawapo.🙆‍♂️
 
Enzi za Mwalimu, ilikuwa ukitaka kuingia kwenye siasa, unajiuzulu (mwenyewe) kwanza kwenye kazi yako


Wewe umeona mbali kaka👍 ila hawa wanaopuyanga eti wametumbuliwa waache waje waisome namba.

Wangejipeleka wenyewe ungesikia wamejihudhuru nafasi zao.

Nimegundua watanzania wengi hatuijui siasa bali ni mashabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…