Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijazi wa TANAPA ameteuliwa kua Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mali asili huku akiendelea pia na u-boss wake pale TANAPA.Ni matumizi tu mabaya ya kodi zetu. Badala ya kuteua Wataalamu, unawateua Wanasiasa wenzako! Unategemea nini muda wa kufanya hiyo siasa utakapofika/utakapowadia? Ni lazima tu wakukimbie ili wakatafute malisho ya uhakika.
Na tutamshangaa sana Rais iwapo atawateua tena watu wa aina hii iwapo watashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama au hata kushindwa kabisa kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
Magufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.
Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
Anafaya kazi sehemu mbili na kupata mshahara mara mbili ama🤔🤪Kijazi wa TANAPA ameteuliwa kua Naibu katibu Wizara ya Mali asili huku akiendelea pia na u-boss wake pale PANAPA.
Hao ndio wenye nchi sasa,wanyonge walie na umaskini wao tu.
Hizo nafasi hazina uhakika, ubunge ni uhakika miaka 5Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.
Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu
Ndio madhara ya kumzuia mbwa kubweka wakati ndo utamaduni wake. Basi hata na mawaziri watumbuliwe maana na wao wameacha ofisi wamekimbilia majimboni kugombea. Tena wengine ni wateule kabisa na hawakuwa na majimbo. Mfano Mzee wa jalalani, Mwl wa hesebu (Ndalichake), Buhingwe kule kwa Mwl Mpango na wengine weeeeeengi tu akiwepo First lady mstaafu.Ni matumizi tu mabaya ya kodi zetu. Badala ya kuteua Wataalamu, unawateua Wanasiasa wenzako! Unategemea nini muda wa kufanya hiyo siasa utakapofika/utakapowadia? Ni lazima tu wakukimbie ili wakatafute malisho ya uhakika.
Na tutamshangaa sana Rais iwapo atawateua tena watu wa aina hii iwapo watashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama au hata kushindwa kabisa kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
Hata yeye hakuridhika kua Mwalimu ndio maana akaenda kugombea ubunge.Mimi naona mwenyekiti na yeye wangemzuia kugombea mimi naisi asingefika hapo alipo hii ni kuzuia demokrasia
Magufuli lazima uombe poo. Na bado tukimaliza kura za maoni tunaipasua CCM paaaaaaa. Labda uharakishe ule mpango wako mapema!
Jamaa walishtuka pale walipogundua kuwa hata ubunge akikuteua anakutumbua. Bora kucheza salama! CCM asilia wananifurahisha sanaNdio madhara ya kumzuia mbwa kubweka wakati ndo utamaduni wake. Basi hata na mawaziri watumbuliwe maana na wao wameacha ofisi wamekimbilia majimboni kugombea. Tena wengine ni wateule kabisa na hawakuwa na majimbo. Mfano Mzee wa jalalani, Mwl wa hesebu (Ndalichake), Buhingwe kule kwa Mwl Mpango na wengine weeeeeengi tu akiwepo First lady mstaafu.