Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

Waliahidi viwanda, ingependeza kama raisi huko anakopita atuoneshe viwanda vipya walivyotuahidi.....hizi porojo za kuokota maneno na kutuhumu watu bila ushahidi hazitusaidii sana kama taifa.
 
sidhani kama Rais kusema jamaa ajirekebishe inatosha hizo pesa si za baba yake ni pesa za umma tunazitaka pesa zetu zirudi na Rais akimtuhumu mtu automatically inakuwa kesi ya TAKUKURU naamini tayari wamebisha hodi kwa huyo mtu manake hadi Rais kataja figure kamili ina maana kuna ushahidi za miamala benki huko, TAKUKURU dakeni mtu wenu huyo chap.
 
Hivi ni jamaa gani huwa wanampa hizi siri?
 
Mbona rushwa ni sawa na suti na tai
 
nchi hii sifa za kuwa mwizi ni kuwa mwanachama au kiongozi wa ccm
 
Hana uhakika na aliyoyasikia, angekuwa na uhakika huyo DED saivi angekuwa Gereza la Berega/ kisawasawa
 
Formula yao iko hivi;
1.Magufuli akitukana hadharani, tunqmaambiwa huyo ni Magufuli binafsi anataniana na watani zake.
2.Akitaniwa yeye (Rejea Idris Sultani na oversize coat), tukisema huo ni utani tuajibiwa Rais ni taasisi na taasisi haitaniwi.
**Hebu na wao watuambie hiyo taasisi inayovaa koti imezaliwa wapi?
 
Kuna mbunge kaomba asilimia 6 ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu iondolewe.
Namshukuru na kumpongeza kwa kuwasemea Watanzania wengi hasa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu.
 
Basi sawa kamzuie
 
Kuna mbunge kaomba asilimia 6 ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu iondolewe.
Namshukuru na kumpongeza kwa kuwasemea Watanzania wengi hasa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu.
Hyo asilimia 6%ni msalaba kwa tuliopewa bumu ufutwe
 
moderators...Mbona kichwa cha habari na post namba moja ya uzi huu havioani? Lekebisheni, na mtoe hicho kitufe cha Live kwenye uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…