BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Uteuzi mpya au? Maana nilishateuliwa siku nyingi.Sawa dingi subiri uteuzi
Hata wakina Lugola na mkataba wa ma Tsh. Trillion walisamehewa kirahisi tu.'amemtaka DED huyo kujirekebisha.'
Simple like that!
Duh, ile ya P.Hata wakina Lugola na mkataba wa ma Tsh. Trillion walisamehewa kirahisi tu.
Kwa hiyo kila handaki linawelewa jiwe la msingi na kuzinduliwa?Hii ni phase ya pili kutoka kilosa kwenda makutupora
Na mahandaki manne
Utaelewa tu mkuuDuj mbona sielewi kichwa cha habari na content?
Kwahiyo!Habari za mida Wadau wa Jf,
Nimetoka kutazama Hotuba ya Rais John Pombe Magufuri ya uwekaji Jiwe kwenye Reli ya Kisasa,
Baada ya kumaliza hotuba basi aliwaita baadhi ya Viongozi kuongea Chochote Mbele ya Wananchi!
Niseme ukweli kutoka Moyoni Hakuna Mbunge nilievutiwa nae kama Joseph Haule Au Prof. Jay kwakweli Yalikuwa ni Maneno machache lakini Yalikuwa yanapoint,
Kwanza nimemsifu jinsi Alivyokuwa Amekaa na ameshikilia bedera yetu ya Tanzania Mkononi ametulia, Ata pia alivyoita na Rais Magufuri ameongea vitu ambavyo baadhi ya Madiwani Tena wa CCM walimtuma, na pia matatizo mbalimbali ya Mkoa Sehemu mbali mbali!
Amenishawishi kujua kwamba Siasa ata ukiwa upinzani sio lazima kutoka nje ya bunge, et flani anaongea, kutukana bila mpangilio, Ndo Maana naona Wenzake kila siku Ni kelele Mara huyu kafungwa, mwingine Kabuluzwa mahakamani,
Siasa ni kwenda kwa hoja mbona Yeye hatumuoni kwenye rabsha rabsha kama hizo! NIWATAKIE TU MCHANA MWEMA🙏🙏
Rais kasoma sayansi Tanzania, hana uelewa wa Aa Baa, Cchaa Daa, ya fasihi kama huyo mleta mada.Mkuu umesoma science nini Tanzania
Umeshindwa kumuelewa Rais
Soma Fasihi, Rais aliongea vitu tofauti na fikra zako
Umechemsha mkuu, Ulisikiliza hotuba au umesimuliwa
AiseeeRais kasoma sayansi Tanzania, hana uelewa wa Aa Baa, Cchaa Daa, ya fasihi kama huyo mleta mada.
Itakuwaje tuamini wewe unaelewa zaidi yaliyosemwa kuliko wao!
Hii analysis mtu anachukulia PhD kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera mkuu kwa uchambuzi safi.Formula yao iko hivi;
1.Magufuli akitukana hadharani, tunqmaambiwa huyo ni Magufuli binafsi anataniana na watani zake.
2.Akitaniwa yeye (Rejea Idris Sultani na oversize coat), tukisema huo ni utani tuajibiwa Rais ni taasisi na taasisi haitaniwi.
**Hebu na wao watuambie hiyo taasisi inayovaa koti imezaliwa wapi?
Hii analysis mtu anachukulia PhD kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera mkuu kwa uchambuzi safi.
Kuanzia kesho mie nashuka na suti tuu
Kweli kabisa mkuu, inafanya watu wanaishi kwa stress.Hyo asilimia 6%ni msalaba kwa tuliopewa bumu ufutwe
Yuko kwenye kampeni tayari😀 chama dume.Hahaha naona mambo ya kufanya yameisha.
Sasa itabidi mataruma Nayo yazinduliwe na matairi ya treni na mabehewa yazinduliwe moja baada ya jingine