Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

Waziri Kalemani yuko kwenye jukwaa anadanganya kwamba pesa zilizotolewa na Magufuli zote ni fedha za ndani. Uongo mkubwa.

Serikali imetoa 15% ya gharama. Zingine zote ni mkopo kutoka benki mbili za Japan, ndio maana ubalozi wa Japan upo jukwaani.

Tena mkopo ni from Japanese commercial banks it’s very expensive for those 180MW hizo 60MW from combine cycle hakuna maji hazipatikani leo wala kesho ni kupigwa tu na CCM kwani aliyefanikisha huo ufisadi ni Jakaya Mrisho Kikwete na alikwenda Tokyo ! Mshenga alikuwa Yusuf Manji! Mengine kawailize watu wasiojulikana! Bei ya mradi USD 344,000,000 it’s very expensive kwa hizo projected 240 MW by any standards sasa mwanasheria Kalemani asidanganye watu wa mjini akadanganye watu wa kuja! Serikali ililipa 15% contribution USD 52,000,000 hilo halina ubishi but it’s not Best Practice !
 
unazinduwa mradi ulizinduliwa na Simbachawane baadaye JKikwete haha kaishiwa bado ataende kuzindua soko la Kariakoo ambalo mwalimu hata hakushughulika
 
Kashasema katiba mpya si kipaumbele nahajasema atatupa katiba mpya wakati wakampeni.katiba mpya inahitaji fedha Na bajeti.
kwani hela anatoa mama yake mbona vingine anatumia bajeti bila kutengwa na bnge hivyo anavyofanya chato alipangiwa na nani mwizi mkubwa
 
Good, hili ni jambo zuri, tunahitaji umeme mwingi na wa uhakika ili gharama za uzalishaji viwandani na pia gharama za umeme wa matumizi majumbani ziweze kupungua!
Muwe mnafanya utafiti kidogo kabla hamjapongeza. Uzinduzi wa mara kumi kumi kitu kimoja ndio pongezi? Let's be serious! Few months ago alizindua part one hakuna umeme uliozalishwa hapo mpaka sasa.
Kiongozi wa nchi kutwa kuzindua hiki kuzindua kile Ikulu imeota miiba? Asifikiri WaTz ni mapoyoyo.
 
Hongera Raisi wetu.Piga kazi
Apige kazi ipi?
Ya kuwadanganya na uzinduzi wa vitolori umeme ambao unasuasua au kuminya demokrasia na vitisho kila kwenye uzinduzi
WaTz tuna safari ndefu sana
Jisumbue kidogo kusoma historia ya Botswana ndio urudi hapa kutoa pongezi ambazo hastahili kiongozi yeyote wa nchi hii. Nchi ipo kwenye lala salama
Bandari karibu itapunguza wafanyakazi
Hospitali karibu zitafungwa
Bank nyingi zinafungwa
Wawekezaji wengi wameenda Zambia Botswana hata Nigeria kwa boko haram ninyi mmebaki mnapongeza hewa
Kitakachobaki Tz ni Magereza tu
 

Katika mambo machache ninayomuunga mkono Magufuki pamoja na madhaifu yake mengi ni hili la kutekeleza elimu burehata kama ameiga wazo hili kwa wapinzani lakini katekeleza kwa vitendo. Nadhani ajitahidi sasa iwe elimu bora maana hapa ndio penye shida. Pia kuondoa ile tozo ya kila mwezi ya capacity charge pia hapa amenitendea haki.

Kwenye demokrasia huku ni zero, kibaya kabisa ni hii hali ya mauaji na manyanyaso ya watu wenye tofauti ya mitazamo na yeye. Pia wizi wa kura ajitahidi aibe kwa akili sio kimachomacho kama alivyofanya kwenye chaguzi za marudio zilizopita.
 
Wacha uwongo hakuna ni Megawati 180 tu na sio MW240 acheni kujipa ujiko kwanza mradi wenyewe ni ufisadi ndani nje serikali imepigwa na wajanja wa CCM takribani USD 100,000,000 halafu nyie washamba mnashangilia?

Hebu zitaje hizo namba nyekundu kwa hela za TZS , harafu utuambie mradi mzima ni sh ngapi kwa TZS.
 
Hahahaha ndio amekuwa mzee wa mikasi kama makamu wa rais wa awamu ya 4, jamaa anapenda sifa hewa sana kila siku anazindua vitu vidogo vidogo utadhani waziri
 
Muacheni Raisi wetu, Sisi anatufaa! Ata njaa tutashinda ili kulinda ndoto ya kesho.
 
Hebu zitaje hizo namba nyekundu kwa hela za TZS , harafu utuambie mradi mzima ni sh ngapi kwa TZS.

Acha uvivu hata hesabu za kuzidisha huwezi, ngoja nijifanye mjinga nikufanyie hesabu kidogo.

Mradi mzima ni USD 344,000,000 toa mchango wa serikali ni USD 52,000,000 mkopo ni USD 292,000,000 kwa exchange rate ya IUSD = TZS 2270 itakuwa ni TZS 662,840,000,000.( Bilioni 662.84) si pesa kidogo! Mradi ukiendeshwa kisiasa ni kiama ndio maana nasema washamba hawajui hesabu.

Serikali must assume huo mkopo wamepewa TANESCO kwa utaratibu wa on lending ili wawajibike kurudisha fedha badala ya kufanya iwe ni national Debt.

Jiwe angejua watu walivyopiga fedha asinyekanyaga Kinyerezi kuhalalisha huo wizi tatizo the Special Branch has stopped telling him the truth kwa sababu two and half years down the road in power he has not learned to listen! Na vivyo hivyo miradi yote tunapigwa left and right ndio tatizo la CCM !
 
Hili ndilo tatizo kubwa la Afrika. Wanasiasa ndiyo kila kitu. Mipango yote ya nchi hupangwa na wanasiasa halafu wataalam wanalazimishwa kufuata. Na wanasiasa wana-mind political millage na si vinginevyo!
Hiyo ipo sana!! Lakini sometimes sioni tatizo kubwa ktk hilo tatizo kubwa ni pale
Hili ndilo tatizo kubwa la Afrika. Wanasiasa ndiyo kila kitu. Mipango yote ya nchi hupangwa na wanasiasa halafu wataalam wanalazimishwa kufuata. Na wanasiasa wana-mind political millage na si vinginevyo!
Na hilo ndo tatizo!! Wanakuwa na mipango yao kichwani badala ya kuwa na proposal ya mipango yao!

Binafsi sioni tatizo kwa rais ku-propose mpango! Lakini iwe ni proposal itakayowapa wataalamu fursa ya ku-propose vinginevyo, including kupiga chini proposal ya rais endapo inaonekana proposal husika isn't economically viable.
 
What is a gas fired combined cycle power plant?
HOW A COMBINED-CYCLE POWER PLANT PRODUCES ELECTRICITY
This is how a combined-cycle plant works to produce electricity and captures waste heat from the gas turbine to increase efficiency and electrical output.

1. Gas turbine burns fuel.
The gas turbine compresses air and mixes it with fuel that is heated to a very high temperature. The hot air-fuel mixture moves through the gas turbine blades, making them spin.
The fast-spinning turbine drives a generator that converts a portion of the spinning energy into electricity.

2. Heat recovery system captures exhaust.
A Heat Recovery Steam Generator (HRSG) captures exhaust heat from the gas turbine that would otherwise escape through the exhaust stack.
The HRSG creates steam from the gas turbine exhaust heat and delivers it to the steam turbine.

3. Steam turbine delivers additional electricity.
The steam turbine sends its energy to the generator drive shaft, where it is converted into additional electricity.
In nutshell combined cycle power plant produces 50% more energy from given quantity of fuel. Good day unhappy people of Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…