Kapustakasha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 248
- 423
Waziri Kalemani yuko kwenye jukwaa anadanganya kwamba pesa zilizotolewa na Magufuli zote ni fedha za ndani. Uongo mkubwa.
Serikali imetoa 15% ya gharama. Zingine zote ni mkopo kutoka benki mbili za Japan, ndio maana ubalozi wa Japan upo jukwaani.
Tena mkopo ni from Japanese commercial banks it’s very expensive for those 180MW hizo 60MW from combine cycle hakuna maji hazipatikani leo wala kesho ni kupigwa tu na CCM kwani aliyefanikisha huo ufisadi ni Jakaya Mrisho Kikwete na alikwenda Tokyo ! Mshenga alikuwa Yusuf Manji! Mengine kawailize watu wasiojulikana! Bei ya mradi USD 344,000,000 it’s very expensive kwa hizo projected 240 MW by any standards sasa mwanasheria Kalemani asidanganye watu wa mjini akadanganye watu wa kuja! Serikali ililipa 15% contribution USD 52,000,000 hilo halina ubishi but it’s not Best Practice !