Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

kuna vitu vichache sana vya kuzinduliwa awamu hii anataka vyote atajwe yeye.
 
Acheni uchizi. Mnajitekenyeka na kucheka wenyewe.

Hivi huyo mlopokaji wa mitandaoni mnadhani ni mtu mkubwa sana kiasi kwamba anaweza tisha dola.

Subirini muone kama sisimizi au nzi atathubutu kuandamana.

Ninyi endeleeni kupiga yowe Rais atazindua kila kitu yeye si ndo anatoa pesa.
 
HAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia
 
ETI KUZIMUA,,,wee jamaa wee umenichekeshaaa..mungu anakuonaa aisee
 
Eti rais anatoa pesa elimu ni kitu cha msingi sana.
 
HAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia
Maandamano ni haki ya msingi kabisa ya wananchi.
 
Maandamano hayaleti ugali mezani by Askofu Cheyo!
 
Kwani umezuiliwa kuandamana wee nenda najua jioni yake utakua wapi na ukiwa ktk hali gani, mimi hata ndugu yangu akienda huko yakimpata ajipange maana najua kitakachofuata lawama tu hakuna kingine
 
Muache rais, anakuja Zanzibar kuzindua kioski cha Urojo hapa TRÁ Zanzibar opposite,,, mtasema sana
 
Hahahaha machizi kweli walahi!
 
Kajikundi kiduchu cha jana pale Kisutu kimesambaratishwa na polisi watano!
Alafu ndiyo wathubutu kuandamana!parthetic
 
Mkuu sipingi utetezi na vitisho vyako, ila hapo uliposema yeye ndio anatoa pesa umenitisha kidogo. Yeye ni tajiri namba ngapi hapa duniani? Sasa hizi kodi tunazolipa ni za nini wakati yeye ndio anatoa pesa za maendeleo? Au umetaka kusifia lakini unakosa maneno mujarabu usifie vipi?
 
HAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia

Kumbuka kuna wanachafu ktk Biblia walifanikisha mpango wa Mungu. Rejea Kahaba wa Yeriko na wapelelezi wa Israel.

[HASHTAG]#Naunga[/HASHTAG] mkono maandamano ya amani
[HASHTAG]#serikali[/HASHTAG] itoe kibali na kuhakikisha ulinzi na usalama wa waandamanaji
 
HAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia
Inaonyesha kabisa mpo tayari kuua, mtaua sana nyie mtakaoishi milele
 
Mropokaji msingekuwa mnamjadili kila mara na kuonya kuwa mtaua, ueni ndugu zenu sasa, kwani mnaishi mbinguni?
 
Kwani umezuiliwa kuandamana wee nenda najua jioni yake utakua wapi na ukiwa ktk hali gani, mimi hata ndugu yangu akienda huko yakimpata ajipange maana najua kitakachofuata lawama tu hakuna kingine
Ueni halafu muone, kutakuwa na sporadic ambush ambazo watu wataanza ishi na wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…