Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaaaakuna vitu vichache sana vya kuzinduliwa awamu hii anataka vyote atajwe yeye.
ETI KUZIMUA,,,wee jamaa wee umenichekeshaaa..mungu anakuonaa aiseeHello,
Pengine anayeelewa zaidi maana ya neno Kuzindua anisaidie. Nimekuwa nikifuatitia kwa uakribu sana pale kunapotangazwa kwamba kuna kuzindua mradi. Ninachotaka kufahamu, ni nini maana ya kuzindua miradi ambayo tayari imekuwa ikifanya kazi miaka mingi.
Kwa vyoyote vile, lazima kutakuwa na sababu za maana za kufanya haya matukio kwenye miradi inayoendelea. Lakini ninaomba, wale watangazaji pengine wajaribu kutofautisha ili tufahamu ni wakati gani kuna kuzindua kitu kipya au kufanya fanya hizo shughuli kwa kitu kilichopo tayari.
Ili tuweze kutofautisha, ninashauri neno Kuzindua,litumikwe kwenye miradi mipya. Lakini kwenye miradi endelevu, watumie neno "KUZIMUA MIRADI".
Ni hilo tu.
Eti rais anatoa pesa elimu ni kitu cha msingi sana.Acheni uchizi. Mnajitekenyeka na kucheka wenyewe.
Hivi huyo mlopokaji wa mitandaoni mnadhani ni mtu mkubwa sana kiasi kwamba anaweza tisha dola.
Subirini muone kama sisimizi au nzi atathubutu kuandamana.
Ninyi endeleeni kupiga yowe Rais atazindua kila kitu yeye si ndo anatoa pesa.
Maandamano ni haki ya msingi kabisa ya wananchi.HAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia
Maandamano hayaleti ugali mezani by Askofu Cheyo!Rais Magufuli naona yuko busy na uzinduzi Mara baada ya Da Mange kuhamasisha maandamano ya amani ya kupinga mambo ya ovyo yanayoendelea nchini chini ya utawala wa Magufuli
Baada ya kutishika na maandamano akaanza kufanya uzinduzi wa vitu ambavyo vilishazinduliwa ili mradi tu kuwahadaa watanzania kwamba serikali inafanya mambo mazuri hivyo msiandamane kuipinga
[emoji117]kazindua barabara ya zamani huko kahama
[emoji117] Akazindua SGR Dodoma
[emoji117] Akazindua tawi la bank Crdb Chato na Dom
[emoji117] Akazindua Rada na mapangaboi(Bombadia)
[emoji117] Akazindua mradi wa zamani wa Kinyerezi wa kufua umeme wa gesi
[emoji117] Akazindua kakiwanda ka juice ka Sayona Mwanza
[emoji117] Akazindua kakiwanda ka zamani ka Dawa
[emoji117] Na sasa anataka kuzindua kiukuta cha kuzunguka mererani
Ujue kuna vitu vingine vinatia aibu kuzindua vitu vidogo ambavyo waziri husika angeweza kwenda kuzindua mfano hii ya kuzindua ukuta
Lakini naona zindua zindua hii ni janja ya kuwapumbaza wajinga ili kupooza nguvu ya maandamano.
Ova.
Hahahaha machizi kweli walahi!Acheni uchizi. Mnajitekenyeka na kucheka wenyewe.
Hivi huyo mlopokaji wa mitandaoni mnadhani ni mtu mkubwa sana kiasi kwamba anaweza tisha dola.
Subirini muone kama sisimizi au nzi atathubutu kuandamana.
Ninyi endeleeni kupiga yowe Rais atazindua kila kitu yeye si ndo anatoa pesa.
Acheni uchizi. Mnajitekenyeka na kucheka wenyewe.
Hivi huyo mlopokaji wa mitandaoni mnadhani ni mtu mkubwa sana kiasi kwamba anaweza tisha dola.
Subirini muone kama sisimizi au nzi atathubutu kuandamana.
Ninyi endeleeni kupiga yowe Rais atazindua kila kitu yeye si ndo anatoa pesa.
HAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia
Inaonyesha kabisa mpo tayari kuua, mtaua sana nyie mtakaoishi mileleHAKUTAKUWA NA MAANDAMANO YOYOTE MAANA M/MUNGU hawezi ruhusu mwanamke mchafu kama KIMAMBI asababishe vifo kwa wasio na hatia
Mropokaji msingekuwa mnamjadili kila mara na kuonya kuwa mtaua, ueni ndugu zenu sasa, kwani mnaishi mbinguni?Acheni uchizi. Mnajitekenyeka na kucheka wenyewe.
Hivi huyo mlopokaji wa mitandaoni mnadhani ni mtu mkubwa sana kiasi kwamba anaweza tisha dola.
Subirini muone kama sisimizi au nzi atathubutu kuandamana.
Ninyi endeleeni kupiga yowe Rais atazindua kila kitu yeye si ndo anatoa pesa.
Ueni halafu muone, kutakuwa na sporadic ambush ambazo watu wataanza ishi na wasiwasiKwani umezuiliwa kuandamana wee nenda najua jioni yake utakua wapi na ukiwa ktk hali gani, mimi hata ndugu yangu akienda huko yakimpata ajipange maana najua kitakachofuata lawama tu hakuna kingine