Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Wewe jamaa acha uzuzu hiyo kodi nani anakupangia kiwango na ukiitoa inaenda wapi na nani anayeimba kila siku pesa ipo!!! Wewe unadhani unaposikia Serikali imesema unadhani anayesema ni nani? Kuna kitu kinaitwa serikali kama sio rais. Ukisikia serikali imepinduliwa unaelewa nini? Si rais alokuwepo kaondolewa madarakani.Raisi yeye ndo anatoa pesa?kweli ww jamaa noma kodi ya wananchi unasema pesa ya raisi.....hivi bado unakula kwa baba na mama?
Usiishi ndotoni, jitahidi kuja kwenye uhalisia wa mambo. Pesa ikishakusanywa ni ya rais dogo. Sasa endelea kuota.