Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
goodluck5Mazuri anayofanya raia watajuaje yeye ndo kafanya bila kuandikwa na kuonekana kwa πΊ? (Anachomaanisha habari nzuri tu)
Aiseee nimekusoma mzee, wasalimie Shimbumbu hapo.Mazuri anayofanya raia watajuaje yeye ndo kafanya bila kuandikwa na kuonekana kwa [emoji342]? (Anachomaanisha habari nzuri tu)
kigeugeu kwenye ubora wakeAkili za kuambiwa changanya na za-kwako.
Duh,Jana na leo kuna nini mbona kumekuwa na point chanya kutoka Ikulu?
Basi tuanze nawalewanaoungana na redio washirika wakisikia baadhi ya habari zenye manufaa kwa raia,wapo tayari wajitoe hewani,ama wanaweka mziki mpaka habari hiyo ipite,hata kama ni yenye maslahi kwa umma.Create tatizo, then solve uonekane shujaa. However angeanza yeye kwanza
Tusiogope kukosolewa. Tukubali kukosolewa lakini pia tukubali kujirekebisha kwa ajili ya kuwapatia wananchi hawa habari muhimu ambazo ni haki yao kuzipata.
Kwamba na Taarifa za Korona watoe? Kesho naenda kwa Waziri wa afya anipe trend ya idadi ya walioambukizwa na kufa kwa Korona.Mm nimemwelewa rais alichomaanisha.
Kwa mujibu wake hiyo haina maslahi kwa taifaKwamba na Taarifa za Korona watoe? Kesho naenda kwa Waziri wa afya anipe trend ya idadi ya walioambukizwa na kufa kwa Korona.