Kwa watu wanaofikiria kwa urefu wa pua zao,kwa watu wanaofikiria kesho nitakula nini na hafikirii kesho kutwa na mtondogoo,watu wa aina hiyo Magufuli ni yesu.ila kwa wale wanaofikiria kesho,kesho kutwa na mtondogoo,kwa watu wanaofikiria zaidi ya chakula,magu siyo raisHabari wadau
Leo nilikuwepo ubungo stendi ya mkoa wakati magu anapita.. nilishangaa sana kuona wakatisha tiketi na madalali wa mabus ubungo wanaacha kazi zao za kutafuta hela na kutoka nje ya stendi na kuanza kumshangilia magu..
Sijawai kuona CCM ikishangiliwa hivi na vijana maskini maisha yangu yote... najuaga ccm ni wazee tu..
Ukweli kikwete na mkapa mlituangusha wa Tanzania.. nakumbuka mlikuwa hadi mnapigwa mawe na wananchi..
Fikiria wananchi wanachoka mpaka kurushia mawe msafara wa Rais bila kuogopa jela.
Ila leo rais wa CCM anasimama sehemu korofi kama ubungo na anashangiliwa na wauza maji, wapiga debe, hii ni aibu kubwa
Rais wa CCM zamani asimame ubungo kweli bila uoga wa kupigwa mawe.
Nasubiri kwa hamu kumuona Magu akienda kariakoo , Temeke, Tandale, kuona atapokelewaje.. ila hii ya Ubungo imenifanya nikubali Wananchi maskini wanampenda Magu
Dar kaja kufanyaje?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.
PICHA NA IKULU
mtoa mada una mke na watoto au unalea damu za watu
Apo umeandika point gani mkuu?Dah nilikuwa napita mida hiyo umati wa watu walikuwa wamekusanyika na kumshangilia htr zilikua sauti zasikika tu baba tumekuelewa, magu, magu .
Uyo mama ni usalama wa taifa namjua[emoji113]Hizo pesa anatoaga wapi?
Halafu usalama wa apewaye ukoje? Maana anapewa hadharani watu wenye nia ovu wanaona kabisa kakabidhiwa mzigo. Ukizingatia ni mlemavu hata uwezo wa kujitetea ni mdogo.
Apo umeandika point gani mkuu?
Alafu itakuwa alitembea sana Raba zina vumbiKwani mkuu ana raba pea moja hiyohiyo pamoja na jaketi moja tu...???
Wasaidizi wake, ebu oneni aibu basi...[emoji23][emoji23]
ushafanya kazi tulia ungekuwepo mbunge mafao chap tuMagufuli hongera kwa kumpa mlemavu pesa. Tunaomba uwape basi wastaafu wa ATCL pesa zao za pension maana PSSSF wanasema hujapeleka za ATCL.. Mbona hawa wazee wanapigwa dana dana na wizara Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. Mara pesa zitatoka Hazina mara ATCL mara hazija tolewa na wizara ya Fedha.
Raisi wa wanyonge wasaidie hawa wazee. Kama tunavyo muimbea mzazi wake Mungu amponye vivyo hivyo tuna muomba Mungu akupe maono uwalipe hawa wazee wastaafu wa ATCL.
Kwan haruhusiwi?Dar kaja kufanyaje?
Anafanyia kampeni hela la Hazina.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.
PICHA NA IKULU
Naona kampeni zimeanza rasmi....
Ni wakati sasa wa CHADEMA kuanza mchakato wa kuteua jina haraka iwezekanavyo ili liwe kinywani mwa Watanzania wapenda maendeleo na sio kumuona huyu kiumbe cha ajabu kutanua tuu hapa Dar....
Ni muda wa kucheza turufu kiumaridadi kabisa wazee wa CHADEMA
Dsm ni mji usiokwepeka kwa kiongozi yoyote wa serikali, mtu atazuga zuga Dodoma hukooooo ila mwisho wa siku lazima aje Dsm mji wa wajanja.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.
PICHA NA IKULU
Angelieni uzi nilio wahi andika machina na wajasiriamal kumpigia shangwe la nguvu kariakoo naona imekuwa ubungo. Well done Mzee.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.