Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

Usanii mtupu, na mashirika haya yana very inadequate capital
Sasa kama hawana capital ya kutosha inawezekana vipi wanaishi maisha ya kama malaika? Gari nzuri nzuri tu, wanajilipa pesa nyingi tu kwenye mikutano yao kwenye mahoteli ya kifahari, ooops wanatakiwa wafanye sasa kwenye majengo yao. Mbona hawalalamiki wao wenyewe kwamba capital ni ndogo? Mengine ongezea mwenyewe, tuache siasa za majitaka haya makampuni yafanye shughuli walizowekewa kufanya siyo kujitajirisha wao binafsi.
 
Back
Top Bottom