johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Magufuli amewalaumu wanaCCM wa Ndanda kwa kumfanyia figisu Cecil Mwambe aliyekuwa anakubalika ndani ya CCM.
Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi sikubaniwa.
Rais Magufuli amemuahidi Cecil Mwambe kama atahamia CCM basi wanaCCM wa Ndanda wasimkate tena kwenye kura za maoni.
Chanzo: TBC!