Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

Ndiyo maana Mbowe anapigwa vita sn. CDM msifanye makosa maana rangi mmeshaonyeshwa mdogomdogo.

Apigwe vita na nani? Muda wake wa kuendelea kuwa mwenyekiti umeshapita maana hana msimamo. Huyo Cecil Mwambe ndio atakuwa tatizo sana wakati alishampokea Lowassa na kumpa nafasi ya maana na leo hii karudi ccm? Wa kupigwa vita ni huyo ambaye sisi kama umma tumesema hatushiriki chaguzi zenye hujuma, yeye anaungana na ccm kutaka tupige tena kura badala ya kusaka tume huru ya uchaguzi?
 
Rais Magufuli amewalaumu wanaccm wa Ndanda kwa kumfanyia figisu Cecil Mwambe aliyekuwa anakubalika ndani ya CCM.

Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi sikubaniwa.

Rais Magufuli amemuahidi Cecil Mwambe kama atahamia CCM basi wanaccm wa Ndanda wasimkate tena kwenye kura za maoni.

Chanzo: TBC!
Ndio pale mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani atakapounga mkono juhudi.
 
Kuuwa upinzani ni mtazamo wa kudumaza maendeleo wananchi wanapenda wawe huru kuchaguwa chama au kiongozi atakaye jibu hoja zao.
 
Halafu watu wanaambiwa wajiandikishe kupiga kura, kama huko aliko hawezi kupewa ushirikiano hadi ajiunge ccm uchaguzi wa nini? Na mbona bado majimbo yanayoongozwa na ccm bado yanashida zilezile?
Kichwa cha Pogba kimejaa upepo. Ndio maana kila kinywa kikifunguliwa kinatema ujinga na upumbavu mtupu
 
Maendeleo hayajali chama, lakini Magufuli anajali vyama.

Magufuli the pimp.

Trading hoes and tricks like they are going out of style.
 
Ni kwanini tusiirudishe tu hii nchi kwenye siasa ya chama kimoja(monopartism)??
 
Ni kwanini tusiirudishe tu hii nchi kwenye siasa ya chama kimoja(monopartism)??
 
Bora ukose Mali kuliko kukosa akili

Hakuna bora, unatakiwa uwe na vyote, akili na mali, ukikosa kimoja wapo ni shida sana eg Mbowe ana mali, ila akili hana kabisa, form 6 he scored Div 0. 😇, na sasa kafanya Chadema saccos yake na ana followers kibao huku.
 
Yaani anatamani wabunge wote wa vyama pinzani waende ccm

Back
Top Bottom