Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

Apigwe vita na nani? Muda wake wa kuendelea kuwa mwenyekiti umeshapita maana hana msimamo. Huyo Cecil Mwambe ndio atakuwa tatizo sana wakati alishampokea Lowassa na kumpa nafasi ya maana na leo hii karudi ccm? Wa kupigwa vita ni huyo ambaye sisi kama umma tumesema hatushiriki chaguzi zenye hujuma, yeye anaungana na ccm kutaka tupige tena kura badala ya kusaka tume huru ya uchaguzi?
Tume huru ya uchaguzi !?
 
Weye huna kazi.Ni mcheza draft na show za harusini maarufu.Ufipa hawakai watu wazembewazembe kama weye.Kwanza umefagia lile getho uliloletaga picha yake humu JF?
Hahahaaa...... Ile picha ni ofisi ya katibu mkuu wa Chadema hapa Ufipa!
 
Hakuna bora, unatakiwa uwe na vyote, akili na mali, ukikosa kimoja wapo ni shida sana eg Mbowe ana mali, ila akili hana kabisa, form 6 he scored Div 0. 😇, na sasa kafanya Chadema saccos yake na ana followers kibao huku.

Ni afadhali ya mtu mmoja kukifanya chama kama saccos yake kuliko CCM na MAGUFULI kuifanya Tanzania kama SACCOS YAO……!!
Shubamiti!
 
Weye huna kazi.Ni mcheza draft na show za harusini maarufu.Ufipa hawakai watu wazembewazembe kama weye.Kwanza umefagia lile getho uliloletaga picha yake humu JF?
Ufipa si ndipo Mkapa alisema kuna 'malofa' !
 
Na hii ndio ilikuwa 'wish' ya chadema ! Ajabu wakaleta mgonjwa !
Option aliyo baki nayo ni UMWAMBA UMWAMBA, UNDAVA UNDAVA, UBABE UBABE, UKUDA UKUDA, NGUNGURI NGANGARI, UTAKE USITAKE.....
 
Kwa maneno na matendo kama haya yanayotolewa na Magufuli basi kujiandikisha kupiga kura kunahitaji ujasiri sana.
 
Na leo tena 16 oct karudia kusema cecil moyo wake uko ccm baada ya watu kimuomba bwawa la maji kasema kama angekua ccm wangesaidiwa mapema hv huyo jiwe shida ni kwamba hataki wabunge wa upinzani au simuelewi kwan tunavyosema hii nchi ya vyama vingi yeye labda anaelewa vingine bas aamue tu kua turudi kwenye chama kimoja jamaa ni mbaguzi sijaona daaah
 
Huyu ndiye anapigiwa chapuo na wapumbavu wa Lumumba awe mwenyekiti wa Chadema,sasa mwenye nchi yake kakata mzizi wa fitna.
 
Rais ana wachukia sana viongozi wa upinzani na hawapendi kabisa.
 
Back
Top Bottom