Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Unatafuta Bwana wewe sio bureHahahaaa........ Naona bado mbege haijakutoka kichwani na huna hata jero ya kula supu ya mapupu ya nguruwe hapo Ufipa.
Unawaza kimbegembege sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta Bwana wewe sio bureHahahaaa........ Naona bado mbege haijakutoka kichwani na huna hata jero ya kula supu ya mapupu ya nguruwe hapo Ufipa.
Unawaza kimbegembege sana!
Wewe umeolewa na halima!Unatafuta Bwana wewe sio bure
Ntakuoa na weweWewe umeolewa na halima!
Wamachame huwa mnaolewa tu!Ntakuoa na wewe
Tume huru ya uchaguzi !?Apigwe vita na nani? Muda wake wa kuendelea kuwa mwenyekiti umeshapita maana hana msimamo. Huyo Cecil Mwambe ndio atakuwa tatizo sana wakati alishampokea Lowassa na kumpa nafasi ya maana na leo hii karudi ccm? Wa kupigwa vita ni huyo ambaye sisi kama umma tumesema hatushiriki chaguzi zenye hujuma, yeye anaungana na ccm kutaka tupige tena kura badala ya kusaka tume huru ya uchaguzi?
Yako bado ipo ?Mkutano wa chama cha WATU WASIOJULIKANA. Watoa roho za binadamu wenzao....
Na kucheza draft utamuachia nani pale kijiweni kwenu?Na ataupata.......sisi wajumbe tutamchagua!
Pale Ufipa hatuchezi draft wakati wa uchaguzi bwashee!Na kucheza draft utamuachia nani pale kijiweni kwenu?
Weye huna kazi.Ni mcheza draft na show za harusini maarufu.Ufipa hawakai watu wazembewazembe kama weye.Kwanza umefagia lile getho uliloletaga picha yake humu JF?Pale Ufipa hatuchezi draft wakati wa uchaguzi bwashee!
Hahahaaa...... Ile picha ni ofisi ya katibu mkuu wa Chadema hapa Ufipa!Weye huna kazi.Ni mcheza draft na show za harusini maarufu.Ufipa hawakai watu wazembewazembe kama weye.Kwanza umefagia lile getho uliloletaga picha yake humu JF?
Unaishi stoo weye.Na draft limekushinda zawadi ya kuku hupati.🤣🤣🤣🤣Hahahaaa...... Ile picha ni ofisi ya katibu mkuu wa Chadema hapa Ufipa!
Hakuna bora, unatakiwa uwe na vyote, akili na mali, ukikosa kimoja wapo ni shida sana eg Mbowe ana mali, ila akili hana kabisa, form 6 he scored Div 0. 😇, na sasa kafanya Chadema saccos yake na ana followers kibao huku.
Una mziria mzigo msela ? Ataubandua kinoma noma tu !ndio maana wengine wanaona kujiandika wakati kura yangu haina maana ktk kuchagua viongozi tunaowataka ni bora wafanye tu wanavyotaka.
Ufipa si ndipo Mkapa alisema kuna 'malofa' !Weye huna kazi.Ni mcheza draft na show za harusini maarufu.Ufipa hawakai watu wazembewazembe kama weye.Kwanza umefagia lile getho uliloletaga picha yake humu JF?
Option aliyo baki nayo ni UMWAMBA UMWAMBA, UNDAVA UNDAVA, UBABE UBABE, UKUDA UKUDA, NGUNGURI NGANGARI, UTAKE USITAKE.....
Majimbo yote ya mkoa wa dodomaJimbo gani kwa mfano?!