johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jimbo gani kwa mfano?!Halafu watu wanaambiwa wajiandikishe kupiga kura, kama huko aliko hawezi kupewa ushirikiano hadi ajiunge ccm uchaguzi wa nini? Na mbona bado majimbo yanayoongozwa na ccm bado yanashida zilezile?
NdioHuyu ndo anautaka uenyekiti wa cdm?
Na ataupata.......sisi wajumbe tutamchagua!Huyu ndo anautaka uenyekiti wa cdm?
Na ataupata.......sisi wajumbe tutamchagua!
Kwa hizi mambo za J.F, bora ukose jigo kuliko bundle la InternetBora ukose Mali kuliko kukosa akili
Ni mjumbe wa mkutano mkuu!Wewe ni mjumbe wa nyumba kumi kumbe?
Huyu ndo anautaka uenyekiti wa cdm?
Huyu ndo anautaka uenyekiti wa cdm?
Ni kweli kabisa kamanda!Mkuu ndio hivyo kwani hata hao cdm wana msimamo gani wakati walimpokea Lowassa miezi miwili kabla ya uchaguzi, na kumpa nafasi kubwa kabisa ya kugombea urais na hivi leo karudi zake ccm?
Chemba kwa juma nkamiaJimbo gani kwa mfano?!
Ndiyo maana Mbowe anapigwa vita sn. CDM msifanye makosa maana rangi mmeshaonyeshwa mdogomdogo.Mkuu ndio hivyo kwani hata hao cdm wana msimamo gani wakati walimpokea Lowassa miezi miwili kabla ya uchaguzi, na kumpa nafasi kubwa kabisa ya kugombea urais na hivi leo karudi zake ccm?
Meatu, kongwa,kitetoJimbo gani kwa mfano?!
Cecil Mwambe ana uwezo mkubwa wa kuiongoza Chadema!Ndiyo maana Mbowe anapigwa vita sn. CDM msifanye makosa maana rangi mmeshaonyeshwa mdogomdogo.
Nimetoa bonge la tusi!Rais Magufuli amewalaumu wanaccm wa Ndanda kwa kumfanyia figisu Cecil Mwambe aliyekuwa anakubalika ndani ya CCM.
Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi sikubaniwa.
Rais Magufuli amemuahidi Cecil Mwambe kama atahamia CCM basi wanaccm wa Ndanda wasimkate tena kwenye kura za maoni.
Chanzo: TBC!
Matusi mwisho Ufipa!Nimetoa bonge la tusi!