Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

Oh kumbe ni mmoja wa watu waliokuja na mafuriko 2015?
 
Ufipa si ndipo Mkapa alisema kuna 'malofa' !
Inategemea weye unatafsiri vipi neno lofa hasa ukimuangalia aliyelitamka!Umewahi kusoma gazeti la Sani miaka hiyo?Ulikuwa unakiona na kukifananisha kibonzo cha Lodi Lofa na nani kati ya "mtamkaji" na "watamkiwa"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…