Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

Nadhani umechanganya madesa The Boss, ni Antony Mtaka, RC wa Simiyu aliyekuwa analizungumzia hili, na idea ilikuwa wajenge hiyo park pembezoni mwa Serengeti national park. Masele huyu alikuwa busy na bunge la Afrika na 2015-2020 amevuma kwa mgogoro wake tu na Ndugai na wenzie huko kwenye bungo la Africa.
 


Mkuu naomba link ya hiyo habari
Kuna watu hapa wananiuliza nashindwa majibu
Please
 
Fafanua mkuu naona unaijua hii story vizuri
Mkuu Proposal yao imelenga Pori la akiba Kigereshi lipo ubavuni na Serengeti western Corridor pia ni karibu na ziwa Nyanza (Victoria).Ndani ya wilaya ya Busega na sehemu ya Dutwaa..eneo hilo lina lendscape nzuri sana kuna milima(Hills) yenye manzari nzuri tu
Tatizo liko huku jikoni kwetu ...na watunga sera wa Simiyu walikuwa kikwazo
Kenya watatufanyia UJASUSI kama ulivyo sema tukizubaa...Ngabu ameeleza hapo juu plan iko California ..na mimi nimeanza kujisogeza LAMADI
 
sele

Hivi kampuni kubwa kama hiyo bado wanaweza kuwatumia raia binafsi wawapigie chapio kwenye deal kama hilo? Hasa baada ya saga la Barrick? I would have expected them to go through the Investment centre.
 
Hilo pori nalifahamu vizuri sana.

Actually nyumba yetu ipo pembeni mwa barabara iendayo huko na kuna kipindi walitaka kuibomoa ili wapate nafasi zaidi ya kujenga barabara ya lami kuelekea huko. Ila mpaka sasa sijasikia chochote kuhusiana na hilo.
 
Disneyland au Walt Disney Company?

Disneyland ni entertainment resort ambayo ipo Anaheim, California, sawa na Disney World iliyopo Florida.

Ni kampuni tanzu za Walt Disney Company....

Ingia ippmedia wanayo .Africa first pioneer theme park..inajengwa Simiyu kweli
 


Mkuu ombeni interventions ya Magufuli
Kenya wakituibia tutalia kama watoto
 


Mods naomba irekebishwe isomeke wazo la Anthony Mtaka..

Cookie Active @ paw
 
Kumbe ni Disneyland recreation park style ...... ....... ... Wabongo acheni upotoshaji!
 
Tanzania ya sasa ni HAPA KAZI ya kisasi kwanza mengine baadae
 
Ulisimama wewe usiyefanya kazi. Kutwa kucha umo JF
Hujaweka kutukana na kujaza pumba .... .... .... .... khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
atizo liko huku jikoni kwetu ...na watunga sera wa Simiyu walikuwa kikwazo
Kenya watatufanyia UJASUSI kama ulivyo sema tukizubaa...Ngabu ameeleza hapo juu plan iko California ..na mimi nimeanza kujisogeza LAMADI
Ebu fafanua namna huo mradi utakavyowanufaisha watanzania, wakati wa maandalizi ya utekelezaji wake, utekelezaji wenyewe, na undelezaji wake. Tumia takwimu kuimarisha ufafanuzi kwa kila hatua niliyoeleza.

Karibu.
 
Sasa Kama kaongea nao si awekeze ? Aende kituo Cha uwekezaji sio Ikulu
Wawejezaji wote huenda kituo Cha uwekezaji yeye Masele hajui hilo?
 
Yes nimekosea nimeomba mods warekebishe

Nguvu uliyoitumia kwa Masele nafikiri ni kwa vile ameliwa kichwa, ulihisi atajifia na proposal yake.

Kumbe ni Mtaka, vipi tuendelee?
 
Magu tatizo hapeni watu wenye brain IQ kubwa anataka watu wa kuwaburuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…