Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
USA wakiwekeza mradi mkubwa hivyo tujue maamuzi mengine ya nchi watupangia. Sharti la ushoga hatutaliepuka.
Tujiridhishe kwa nini wachague eneo hilo? Mahusiano yetu na USA lazima tuyachukulie kwa tahadhari kubwa sana. Mali wameshaumizwa tayari. Angalia wanavyo mshadadia Lissu. Walimchagua Nyalandu kipindi cha nyuma kuwa ndiye wanamtaka awe rais.