Tunazunguzia mambo ya msingi acha kuleta mizaha. Mradi ambao karibia ni mara mbili ya akiba ya fedha za kigeni uwekezwe na Wamarekani Watu ambao haki za bibadsmu kwao ni pamoja na ushoga, uhuru usio na mipaka wala staha wala heshima, kwa jina la liberty,. Kumbuka Wanajeshi waliofanya mapinduzi Mali asilimia kubwa wamepewa mafunzo USA. Nchi ambayo inawashwa washwa na mambo yetu ya ndani, ina mamluki tayari humu yuko mmoja anaandamana na huyu mgombea wao anaitwa Daudi Mjumbe sijui.
Such a huge investiment needs a proper government scrutinize. Sasa wewe unaingiza matusi kwenye mambo ya msingi kwa Taifa.
If you are not part of solution you are part of problem. Kazi yenu ni kubeza kila kitu serikali inachofanya.