The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
- Thread starter
- #121
According to hao matapeli kutoka Singapore mradi ulikuwa uanze mapema mwaka huu with an initial investment of 500 million US na ufunguliwe within 2 years. This is beyond unachoweza kuita kuwa kwenye drawing boards. Na ujue kuwa kwa Walt Disney any prospective project ina impact kwenye value ya shares zao na kuwaongezea uwezo wa kuinvest. Wasingekaa kimya mpaka August kwa mradi uliotakiwa ku take miezi sita iliyopita. International Matapeli wanatujua tunavyopenda sifa za kijinga na tusivyopenda kufanya due dilligence hivyo wanatuletea miradi kama hii ya Ali Nacha. This project stinks to the high heavens na tunatakiwa tuuepuke kama ukoma.
Amandla...
Duh basi hatari