Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

Msema kweri ni mpenzi wa Mungu. Alusha hoyee Alusha hoyee Alusha hoyeeeeeee
 
Kumuamini meko lazima uwe mjinga kama wanaccm,iko siku atasema hajawahi kuishi tanzania na ccm watashangilia kama mazuzu
 
ni kweli jamaa yangu na sasa yameongezeka mpaka yanajisahau
yameshalazimisha JF kuwa Jukwaa la ajabu, kujipuumzikia ndio fumbo la mjanja
shikilia kichinjio chako cha trh 28
 
Magufuli muongo halafu hana kumbukumbu.

Leo anaweza kukuambia maendeleo hayajali vyama, halafu kesho akakwambia nileteeni Gwajima msiponiletea siwaletei maendeleo.
Jamaa muongo wa mchana kweuoe
 
Ndo tafsiri yake ya moja kwa moja....one man show
 
Magufuli sio muongo. Anachokifanya ni kujiona yeye ana akili nyingi kuliko watu wote na anaweza kuwaambia kitu chochote wakati wowote na watu wakamuamini na kumshangilia.

Anachofanya hiki ni zaidi ya uongo na wala sio usahaurifu. Huu ni ugonjwa
Bora anayeumwa sleeping sickness
 
Huyu mzee amekosa aibu[emoji23][emoji23]
 
Kura hazipigwi mitandaoni subiri tarehe 29 mchana moshi mweupe utakuwa unarindima pale jiji ,ccm tunajambo letu haujajua nguvu ya ccm bado ?atutaki malalamiko kuanzia tarehe 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…