Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kabisa. IGP kapewa go a head. Kuwa makini kwenye magroup.
 
Hii ndiyo tofauti kubwa kati ya MBWA na MBO. Yaani Management By Walking Around (MBWA) na Management By Objectives (MBO).

Sent using Jamii Forums mobile app
My God wewe uko dunia gani management by objective haiko duniani ilishafutwa sasa hivi ni management by results kwa kutumia balance score card you are so outdated you stupid go back to school
 
Eti anashauri tujifukize kwa mvuke "Corona watakufa wenyewe",ngoja tusubiri hayo maelekezo ya namna ya kujifukiza kutoka wizarani

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo la kutoa ushauri bila kuangalia athari zake
Hajui kuwa wengine wataufuata hata kama wana matatizo ya kupumua?
Sidhani kama wataalamu watatoa huo ushauri


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Shida yako ni hotuba yake au sebule yake?
 
Sio data hazikuwa sahihi wali skip za waliopona!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…