mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Mjikusanye muende mtaa wa ufipa mwenyekiti wenu awaweke lockdownRais yupo lockdown anawaambia wananchi wake pigeni kazi. Alafu mazuzu yanashangilia. Kweli tunaangamia kwa upumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk