Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Taarifa umeigongea nyundo ya upinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo, kama hawapimi watu, hivyo hawawajumuishi katika idadi rasmi, watu wanaumwa, halafu wanapona wenyewe, watu hawa wakipona, hawawezi kujumuishwa kwenye idadi rasmi ya waliopona, kwa sababu hawakuwemo kwenye hesabu tangu awali.Rais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.
Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa above. Inaelekea Rais wetu anasoma sana social media na anaangalia sana YouTube. Kasema hadi ya vitunguu. Nimecheka. Yani ana majibu rahisi kwenye maswali magumu.Kwa joto la 100'c si Pua itafanana kama mchemsho wa mbuzi wa pale kwa Mangi?
Ambaye ndo bashiteMsemaji wa serikali
Jengo la umma vs Shambani ChatoHata Ikulu ni nyumbani kwa raisi....
Dhambi ya kubaguana ni mbaya sana. Hakika, tusibaguane...Na amesema wamikoani waache kuwabagua watu wa Dar.
Kwa mfano yeye kawaita viongozi wa usalama kutokea Dar na wameenda Chato.
'Anatafuta watu wa kuwatoa kafara kama kawaida yake'
Ili kupata publicity kwa watanzania wasio na ufahamu wa mambo.
Hakuna biashara iliyofungwa zaidi ya baadhi ya makanisa na misikiti nani afunge apate hasara? Tunafanya biashara Kama kawaida sijui huko ulipo wewe unaposema biashara zimefungwa ni wapiWapumbavu wakubwa zaidi ni wale wasiojua maana ya lockdown na kushindwa kujua kuwa itatokea automatically. Wenye akili wameshafunga biashara zao na hadi kuna dayosisi za makanisa wamesimamisha shughuli zao.
Rais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.
Ina maana Leo anawakana wenzie walioshirikiana naye "kuzipika" hizo data??Rais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.
Kawasafirisha kina IGP,CDF,Chief wa uhamiaji n.k. Asante China.umesema sahihi, naomba kukuhakikishia kuwa hata huyu Victoire ameongea kama kasuku, kakuruouka, kaiga, kalimeza na ndio maana anaandika bila aibu 'only in Tanzania' ukimuuliza nchi zingine inakuwaje? hawezi kutoa taarifa akiwa mbeya, mwanza, arusha?
mbona JPM mwenye wala sio mtu wa viwanja, na kula bata mamtoni....................hata akienda chatto alaumiwe?? aisee
achana nao hao
Nilijua itakua Live vile tamko limetoka. All in all, bora wamefanikiwa kuonyesha
Lockdown ni kwa faida yako,Mimi na yeye mwenyeweDah.
Kwa ishu ya lockdown kawachinjia watu ziwani..
Taarifa za waliopona ni za muhimu zaidi Ripoti ionyeshe jumla ya wanaoumwa waliopokelewa,waliopona na waliokufa na balance ya ambao bado wanapambana na hali yao na corona wakigalagala hospitali ambao hawajukikani kama watakufa au kupona
Raisi yuko sahihi
Wanasahau USA Kuna camp David's maraisi wanakaa huko hata miezi na hotuba zinatoka huko Kama kawaida sema nini wamezoea kukariri Kama kasukuumesema sahihi, naomba kukuhakikishia kuwa hata huyu Victoire ameongea kama kasuku, kakuruouka, kaiga, kalimeza na ndio maana anaandika bila aibu 'only in Tanzania' ukimuuliza nchi zingine inakuwaje? hawezi kutoa taarifa akiwa mbeya, mwanza, arusha?
mbona JPM mwenye wala sio mtu wa viwanja, na kula bata mamtoni....................hata akienda chatto alaumiwe?? aisee
achana nao hao