Aisee. Nimesoma vitu wameandika wakuu hapo naona kama wanamsingizia.Kwa joto la 100'c si Pua itafanana kama mchemsho wa mbuzi wa pale kwa Mangi?
Mkuu mvuke wa nyuzi 100 mtu akijifukizia anabakije na ngozi? Please assistUnafikiri uraisi ni sawa na Sacco's ya ufipa
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ndio wewe mwenye namba simu za nchi nyingine sio mtanzania,"Anasemaje huyo kiongozi wenu
Shida yako ni hotuba yake au sebule yake?
Usikariri kikubwa kazi inafanyika, na isitoshe katiba ndo mwongozo kama hakosei Kutoka kwenye katiba, au toa evidemce kutoka kwenye katiba kama anakosea hapo ndo nitakuelewa tofauti na hapo usikariri Mambo..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Utadakwa ukanyee debe shauriyakoNgonja nikujibu upya. Sikujua kama ni wewe Fundi Mchundo. Yes Olny in Tanzania. Umeona Giuseppe kakimbia Ikulu kuu?Macron kakimbia ikulu ?Trump kakimbilia Florida ?Mseven kakimbia Kampala ?Uhuru je ?Huyu Rais wa kutuambia tujifukizie mfuke wa above 100'C?Tule vitunguu.
Again kakimbia Ikulu kuu kaenda kijijini sababu ya Coronavirus. 😥😥😥
What's the meaning of internal communication? Ina maana hakuna mawasiliano kati ya watendaji na wakubwa wao?Rais John Magufuli ameitaka Wizara ya Afya itoe takwimu za kweli kuhusu maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na kutangaza takwimu sahihi za watu wanaopona ili kuondoa hofu kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Rais idadi ya watu waliopona ni ndogo kuliko hali halisi na kwamba, ana taarifa kuwa hadi wakati Waziri Mkuu alipotangaza idadi ya watu walioambukizwa, waliopoteza maisha na waliopona zaidi ya watu 100 walikuwa wamepona.
Brother people are dying....!!!!'Anatafuta watu wa kuwatoa kafara kama kawaida yake'
Ili kupata publicity kwa watanzania wasio na ufahamu wa mambo.
wewe ni mpumbavu hakuna aliyekuzuia kujilock mzee, au unasubiri mpaka uambiwe na serikali?Rais yupo lockdown anawaambia wananchi wake pigeni kazi. Alafu mazuzu yanashangilia. Kweli tunaangamia kwa upumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia kesho siingii JF maana hii Serikali inabore sana.Utadakwa ukanyee debe shauriyako
Kabisa. IGP kapewa go a head. Kuwa makini kwenye magroup.
Wanasahau USA Kuna camp David's maraisi wanakaa huko hata miezi na hotuba zinatoka huko Kama kawaida sema nini wamezoea kukariri Kama kasuku
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk