Aisee. Nimesoma vitu wameandika wakuu hapo naona kama wanamsingizia.Kwa joto la 100'c si Pua itafanana kama mchemsho wa mbuzi wa pale kwa Mangi?
Nchi inapitia kipindi kigumu sana.
Eti watu watumie muarobaini, wajifukizie sijui dawa gani!
Na hii ya vapour ya 100 C si ndio hatari. Hivi boiling point ya maji si ndio hiyo ya 100 centigrade, sasa hapo mtu si unajipika kabisa.
Halafu fumigation inaeneza Corona kivipi? Enhe!