Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Akili za madesa hizi!
Tangu mwaka jana mwezi kabla ya Nov. ugonjwa ulikuwepo na ni airborne disease,unadhani ugonjwa ulikuwa unakusubiri wewe uugundue ndipo uenee?

Au unadhani kitendo cha ugonjwa kuanza tu na mtu ndio kaugundua?
Unafikiri kusoma code za protein wa virus na kumtofautisha na virus wengine ni rahisi kama kusoma nyuzi za jf?
Wanapimwa ili watengwe ili wasiambukize watu zaidi punguani wahed wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu wakubwa zaidi ni wale wasiojua maana ya lockdown na kushindwa kujua kuwa itatokea automatically. Wenye akili wameshafunga biashara zao na hadi kuna dayosisi za makanisa wamesimamisha shughuli zao.
Wenye AKILI wameshafunga biashara zao, I believe you didn't think through mkuu. Wasio na akili bado wanaganga njaa na biashara zao, sio? Hujatumia busara kufikisha ujumbe wako.
 
Waziri mkuu ametuambia Leo kuwa waliopona ni 11 na walikufa ni 10.kama vipi wizara ya afya ihamishiwe ofisi ya rais
 
Personally naamini Magufuli kuwaita jamaa kwenda kule, kuna kikao cha siri dhidi ya baadhi ya wanasiasa na watu wanaoonekana ni wasumbufu.

Otherwise angeweza kuongea nao akiwa kule na wao wakiwa Dar.

Kuna agenda zaidi ya hii.
Umewaza vizuri, kuna agenda za siri zitajadiliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…