Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Leo tulikua na hotuba tatu na moja ilizimwa ili kukabiliana na korona, tukabaki na mbili moja toka kwa Rais kipenzi nyingine toka kwa field marshal waziri mkuu anaestahili kupandishwa cheo hatua mbili juu.

Na zote zilizungumzia na kutoa takwimu kuhusu huu ugonjwa, wa kwanza alikua waziri mkuu akasema tua wagonjwa 284 saba wapo katika uangalizi maalum 10 wameaga dunia na 11 wamepona walobaki wanaendelea vizuri.

Akaja Rais mwenyewe akasema waliopona wako 100 bila kutaja waliokufa na walio mahututi. Sasa twende na takwimu hipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki na unayoona inafurahisha mtima wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tena akiwa chato,ameomba Benki ya dunia isamehe deni katika kipindi hiki kigumu,sasa Benki ya dunia itasikia kweli,angetakiwa asafiri awafuate ,sio kujificha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti misinformed!! Kipi kati ya nilivyotaja ambavyo huyo mungu mtu wako hajasema?!

Again, sina muda mchafu wa kumsikiliza Jiwe cuz' he doesn't have what it takes to have my attention!

Sorry to disappoint you!!!

That's why he is ruling and you're crying like a kid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…