Nimemsikia Ndugulile, Naibu Afya, akisema hiyo kujivukiza sio salama. Inaweza kuleta shida kwenye mfumo wa hewa. Anasema sehemu hizo za mwili haziwezi kuhimili joto kali hivyo!Nimecheka. Sasa mtu ujifukizie vapour above 100 itauua Coronavirus. Wanasayansi anaongea kitu ambacho hajakifanyia experiment.
..na msamaha wa madeni huja na masharti.
Haahaa, hapo tumeliwaa."Nimeteua katibu mkuu mpya ili hata wale wanao pona watangazwe" kuanzia kesho mtapata majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
no, uganda wana wagonjwa 61 ila active cases ni 16, active cases ni ambao hawajaponaHiyo 66 sio ya Uganda hiyo?!
Ulishawahi kujiuliza hao unaosema walijifungia walijifungia wakati gani?! Nchi imeshaathirika, ugonjwa umeshaingia mtaani, unadhani hata mkijifungia watu watakosa kufa wakati walishaathirika hata kabla ya hizo lockdown!!Umetembelea mortuary za Marekani na Italy ambako wamejifungia? Au unasema tu, hata Rwanda umetembelea mortuary zake? Usijidanganye kaka, wewe mtaani kwako unakokaa, kazini kwako, kanisani kwako, kwenye ukoo wako umeona watu wangapi waliokufa kwa CORONA? Au unasikia maneno ya mtaani?
Wakina Gates &com kuna upumbafu wa kindezi wanataka kufanya dhidi ya mataifa ya Africa lazma vyombo vyote vya ulinzi na usalama viwe makini otherwise nisu ya Africa tutapuputika wotePersonally naamini Magufuli kuwaita jamaa kwenda kule, kuna kikao cha siri dhidi ya baadhi ya wanasiasa na watu wanaoonekana ni wasumbufu.
Otherwise angeweza kuongea nao akiwa kule na wao wakiwa Dar.
Kuna agenda zaidi ya hii.
Sayansi ipi kwenye CORONA? Sayansi ambayo haikufaa Marekani, Spain, UK, Italy, France, German, Canada ingevaa nini Tanzania?Ukitaka mfano wa kuigwa na sio huo wa kubahatisha unakokusifia bila ya kuwa na sayansi yoyote nyuma yake, basi mtazame kwa heshima Museveni.
I won't be surprised, hawa jamaa walikuwa serious since day one!no, uganda wana wagonjwa 61 ila active cases ni 16, active cases ni ambao hawajapona
Mpaka na komenti muda huu walio like mada yako ni mataga wenzako.Rais Magufuli hakupepesa macho alipowaruhusu watanzania waendelee na shughuli zao za kujipatia riziki huku wakiendelea kuchukua hatua mbalimbali za kujilinda. Kwa Mara ya kwanza hata wazungu wamemuona Kama kiongozi mwenye maono ya mbali asiyekuwa bendera fuata upepo wa wazungu.
Wakati nchi za Marekani na Ulaya zinawa kulegeza lockdowns sasa Tanzania ukiona kuwa haitawezekana kuwafungia ndani watu wote kwa Mara moja. Nchi zilizojaribu kufanya hivyo hazikupata matoe chanya dhidi ya CORONA.
Sio kila kitu lazima tuwaige wazungu Kama kasuku Kama baadhi wa maRais wa Africa walivyoumbuka. Sasa hivi mataifa yanahangaika kujibu maswali ya watu wao wanaozishindwa lockdowns, hata Rais Trump ameona upuuzi wa lockdowns kijamii na kiuchumi.
Tutamkumbuka hakiyaMungu huyu mswahili wetu akimaliza ngwe yake.
HatujuiUnadhani kwanini katibu mkuu wa wizara ya afya kahamishwa na mganga mkuu wa serikali kaondolewa?!
Sasa na wewe utafute Muarobaini taabu yote hiyo ya nini wakati ukipata kale kaugonjwa, unajifukisha mvuke tu, mambo swaaaaafi!!
InashangazaKweli haya ni maajabu,Alafu Mwingine ni Makonda,inahitaji uchunguzi hapo?
He is a superb striker, creating a chance to score. RA has never been a foolish all his life
Sawa bhana! Rostam Aziz akamatwe sio?Rais Magufuli yuko sahihi kwa 100%
Mie wala sio Dr, isipokuwa kijijini kwetu hii vita inapiganwa kupitia health promotion ni muhimu zaidi wananchi kupata kila angle ya elimu hili wajikinge.