Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Kwani Rost si ni mashine za kupuliza sanitizer? Mbona tuna mix madesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Rost si ni mashine za kupuliza sanitizer? Mbona tuna mix madesa
Kweli kabisa hakuna nchi inayofanya hivyo! Nimekumbuka post yako ukimpinga Makonda kunyunyizia dawa DSM na Rostam.Nawe ulikua sahii aslimia 1000700%Rais Magufuli yuko sahihi kwa 100%
Endeleeni tu kujitoa akili!!!Sayansi ipi kwenye CORONA? Sayansi ambayo haikufaa Marekani, Spain, UK, Italy, France, German, Canada ingevaa nini Tanzania?
Acha upumbavu. Kilichopulizwa Dar kina content ya alcohol
Wewe mtu ni bonge la msukule.Rais Magufuli yuko sahihi kwa 100%
Kama hivyo, basi sawa... mi si nikadhani ni kwa ajili ya hutu tujimafua mafua!Achana na kamafua mkuu inaelekea Muarobani hata nguvu za kiume inatibu nina wake watatu wacha niutafute tu
Sent using Jamii Forums mobile app
IGP ana maagizo toka juu kuwashughulikia wapinzani hana nafasi ya ushauri wako. Labda ungeshauri taasisi zingine zilizoalikwa kwenye mkutano husika.
Wivu tu unakusumbua...Mataifa yamlilia aende kutawala huko...Ebu unataka kuniambia kuna mtawala ambae amefanya brilliant decision kama Mh.Rais? Angekua USA apo ungemuona kwenye books of records.Kama Magufuli ni genius basi mimi ni Isaack Newton. Sioni namna yeyote mtu anaweza kutunga sentensi hiyo hiyo moja inayomtaja jiwe na neno "genius" na ikawa realistic. Hata kukiwa na neno SIO bado itakuwa ni overstatement ya karne.
Watu wanajifukizia tangu zamaniNimemsikia Ndugulile, Naibu Afya, akisema hiyo kujivukiza sio salama. Inaweza kuleta shida kwenye mfumo wa hewa. Anasema sehemu hizo za mwili haziwezi kuhimili joto kali hivyo!