MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Toeni taarifa sahihi za wagonjwa... Babati mpk Jana kulikuwa na wagonjwa 14.
Mnaficha ili ionekane JPM yuko sahihi ilihali watu wanaangamia.
Kama kweli yuko sahihi aje Dar aendelee na ziara na mizunguko yake??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaficha ili ionekane JPM yuko sahihi ilihali watu wanaangamia.
Kama kweli yuko sahihi aje Dar aendelee na ziara na mizunguko yake??
Sent using Jamii Forums mobile app